Certificate ICT nimpeleke wapi?

Certificate ICT nimpeleke wapi?

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,341
Kijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia gharama zaidi upande wa hostel, usafiri etc. Tafadhali naomba ushauri.
 
Kozi ni moja ila juhudi ya mwanafunzi ndiyo itayomtoa na siyo chuo kwani mfumo wa utoji elimu kibongo ni mmoja.

Kama dar itakuwa ni ghari aende dom.
 
Kijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia gharama zaidi upande wa hostel, usafiri etc. Tafadhali naomba ushauri.

Mpele UDOM , haina haja ya kuumiza kichwa sababu zingine.
 
Kijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia gharama zaidi upande wa hostel, usafiri etc. Tafadhali naomba ushauri.

Udom ume apply vipi certificate mkuu.
 
Kijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia gharama zaidi upande wa hostel, usafiri etc. Tafadhali naomba ushauri.
UDOM wako shallow kwenye mambo ya technology
 
Wakuu hebu toeni ushauri zaidi. Nitashukuru
 
Kijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia gharama zaidi upande wa hostel, usafiri etc. Tafadhali naomba ushauri.
Mpeleke UDOM kwasababu ni chuo Kikuu, atakua na advantage katika kuendelea na ngazi zingine za masomo
 
UNIQUE wanatoa hadi Masters ya Information Technology
 
Hiyo course inahitaji jitihada binafsi sio ubora wa chuo....mpeleke dar kwasababu kule kuna vyuo vingi vikubwa vizuri atapata exposure ya ku compete na wanafunzi wengine wa vyuo tofauti sambamba na kushare material na ujuzi ila kwa udom uwanja ni mdogo wa kujifunza na hakuna vyuo best kwenye technology vya kumpa hasira aone kama bado haja iva labda kwa kozi nyingine ila kwa ict hakuna chuo kina muivisha mwanafunzi lazima jitihada zake mwenyewe na kama yeye mwenyewe hapendi hiyo course usimlazimishe hii course inataka uwe na passion nayo
 
Mkuu ahsante. Mimi nikumuelekeza na kumuwezesha tu yeye mwenyewe ndie aliyechagua fani. Sisi wazee wa enzi hizo bado tuna amini kuwa chuo kina nafasi ya kumjenga kijana kitaluuma na jitihada zake mwenyewe zitazaa matunda hasa kama chuo kitatimiza wajibu wake vizuri. Point yako ya Dar nimeipenda. Hii ya jitihada binafsi naamini amesha ielewa na bado tutasisitiza tena.
 
Back
Top Bottom