CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

amekataliwa work permit Tanzania is doing what Kenya does under Matiangi. Protecting our jobs too u know Tit for tat!
Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa mkuu. Hawa jamaa sijui wakoje, wanadhani hatuelewi wanavyopanga juu yetu. Halafu wanajifanya hawaielewi sheria yetu ya kazi
tapatalk_1525702792538.jpeg
 
Juzi juzi kuna kiongozi mmoja wa Kenya ambaye clip yake inatembea mitandaoni, anaonekana akisema kuwa Kenya haihitaji kuwa na mhasibu ambaye ni mgeni kutoka nje ya Africa anayefanya kazi nchini humo.

Kuna dhambi gani kwetu sisi pia, kuamua kuwa mgeni aje kufanya kazi ambayo tu mtanzania haiwezi?
 
Yes, local authorities did the vetting and she did not pass muster.

Tanzanian Immigration will not discuss details of processed applicants on an individual basis, so we haven't heard the official explanation.

But there are any number of reasons why her application was shredded.

The slightest idea of a Kenyan, of all the foreigners, being at the helm of the biggest telecommunication conglomerate in the country did not sit comfortably with security advisers.

As far as the East Africa integration rhetoric, in Tanzania we say JIONGEZE, meaning "read between the lines." EAC is just blue sky coffee table chatter, the immutable fact is we are not going to be ruled by some military Junta, life President Museveni or some Kenyan tribalist scion whose family owns half the land of his country.

This is what I call;
'Hitting the Nail in the Head'.

However, reading between the lines,
One can't help but notice Irrational anger if not some personal grudges against some state figures within the community.

Be enlightened;
Whomever you are pro-to, HE,
Can't be taints-free for Life,
Should we devote into individual Private Life digging.

Let's focus now on Issues instead of personalities otherwise we are unknowingly leading ourselves astray.
 
Don't take it politically or personal. Many Tanzanians in Kenya are just petty traders, non employees and it wont affect anything. But If tz does the same to Kenyans. Kenya will be on the disadvantaged side as almost every private primary and secondary school in tz has more that two Kenyan teachers including hospitality industry among the few etc.

Unawapalilia mkaa wakenya wenzako waliojazana tz kwa chuki zako za kishamba.
Mwambie asikurupike itawagharimu wakenya waliokuja kuganga njaa hapa kwetu
 
Rubbish, unajua kuna watanzsnia wangapi Kenya kwenye kazi zinazoweza kufanywa na wakenya
retired kama jina lako lilivyo issue sio kuwa na watu wangapi wapo kenya nchi kama nchi mnatakiwa muwe na utaratibu wa kuwa favor raia wake sasa kama kenya wao wameajiri watanzania is up to em
 
Kwhyo sasa kwasabab hakuna ndio lazma tulipize na sisi kumzuia huyu dada!? Unataka uniambie Kenya Kapuni zote zinaongozwa na Wakenya tu no other Africans wanaoongoza? Na pia hv kuna Mtanzania aliyezuiwa kwenda Kenya kugombania nafas za kuongoza makampuni huko akapambane nao???tusikubal kupelekwa kwa stail hii ya kimugabe!!
Tufike hatua tuunge mkono vitu sensable sio vtu ambavyo vitaleta public power tu ya hovyo lakn ukichek ndani yake ni uozo mtupu.
Hta Mzee Mugabe alishabikiwa sana lakn mwsho wa sku aliuumiza watu wake kwa wingiii kwasabab ya kufanya maamuz yaliyobeba proud kwa watu wake na kukosa diplomatic healthy.
Yan usifikirie kwny single room hii tu ya ajira watanzania wamesambaa sana dunian na wanafanya makubwa sana.
Wewe umesema makampuni makubwa lakn unasahau kuna Music Industry ambayo kwa Kenya ni wabongo ndio wanakimbiza kule yan mtu la kiba,diamond na wengne wanajua heshima wanayopata na pesa wanazovuna kule sasa kwa ishu hii unafikir unawaweka ktk kikaango kipi hpo mkuu??
We must say NO. We are ONE people same Continent.
SHAME..
No we ain't the same ndo mana kuna kitu inaitwa Nationalism
Hapa nazungumzia maslahi ya utaifa.
Kaa tupo sawa Mbona kwao tunabaguliwa?
 
Ni kwa ajira gani unaongelea? Ajira za umma au kampuni binafsi?

Kampuni binafsi huwa zina taratibu zake za kuajiri. Na kwa sheria za nchini mwetu za uwekezaji, makampuni ya kimataifa, yana idadi fulani ya nafasi za ajira kwenye management ambazo wana mamlaka ya kumweka mtu yeyote hata bila ya kujali qualifications. Nafasi hizo zaidi zinaangalia trust.

Usitegemee kuwa kampuni itoke nje ije kuwekeza nchini halafu ajira zote iwape watanzania kwa sababu tu wana general qualifications. Companies zina internal qualifications ambazo ndizo wanazingatia zaidi kuliko general qualifications zetu ambazo zimeshindwa kuendesha mashirika yetu ya umma kwa faida.

yaani unavyoongea sasa, utafikiri unajua kila kiti vizuri kabisa


haiko hivyo...pitia madesa yako,
 
Nilidhani tanzania shida ni viongozi wetu tu kumbe hata akili za wengi wetu ni shida tena shida sana. Yaani hili swala la huyu dada watu wanashindwa ona facts wanashadadia mambo ya kipuuzi simply kwa kuwa ni mkenya. Ujinga kabisa.
 
ni kweli unachosema kwamba wenye hisa nyingi ndiyo wana mamlaka ya kuamua ceo awe nani, lakini hilo halizuii nchi kufanya checks and balance katika kuhakikisha maslahi yake yanalindwa hata kama kampuni ni binafsi, hawa watu hawawezi kuja kuja tu, hata nchi ina haki na mamlaka ya kujiridhisha kwamba huyo anayekuja kufanya kazi nchini kwake anakidhi vigezo, taratibu na maslahi ya nchi anayokuja kufanya kazi. hivi unadhani hata wewe ukienda kufanya kazi uk, uswisi au kokote unadhani hawajajiridhisha kabla hawajakupa kibali???? . . . .
Ninaamini kabisa kwamba hata kabla Tidjane Thiam (Mu Ivory Coast na mwafrika mwenzetu) hajapewa kibali cha kuifanyia kazi Credit Suisse, mamlaka husika zilijiridhisha kwanza kabla hajaanza kazi. Kwa nini iwe nongwa nchi yetu kumkataa new CEO wa Vodacom???
kila kitu kina taratibu zake, hata sisi tuna mamlaka ya kuhoji kama nchi na kujiridhisha, sisi sio kikapu kiasi kwamba kila mtu anayetaka kukutumia anakuja tu na kukuchukua na kukutumia anavyotaka.

every house has it's morals,and all the visitors are obliged to respect them whether they like or not
*ownership matters
 
Great! Mwendo wa kulipa visasi walizingua madaktari wetu kwenda kufanya kazi Kenya! Appoint me pliz , I'm from Hehe empire
 
Kisasi huwa hakiishi kizazi hadi kizazi , Qualified doctors from tz walidharaulika. No work in Tz for Kenyans.
 
Wafunge vodacom tanzania kama wamechoka hawa voda nchi haina ajira wame wekeza tanzania ilivijana wapate ajira wao wanaleta wafanya kazi toka kenya kuwa watanzania wote wana ajira safi jpm
 
Ok nimekuelewa naongea na mtu wa aina gani. Mimi sijaongea siasa hapa hizi ni kampuni zimekuja kuwekeza sio kutoa misaada hawezi kufanya lolote hata huko ambako wa share kama NMB. Mambo ya Airtel yako wapi mbona kimya si tuliambiwa mali ya serikali report itoke muda wa wiki tu. iko wapi? hizi kampuni zinakuja na mikataba sio unakuja kuwachagulia mkurugenzi kama wa Manispaa. acha hasira watu hawaji kuwekeza bure kuna shareholders wanataka kuweka mtu wasikia pesa yao iko salama.
Kunashare za watu na serikali jomba tanzania ajira chache why wanaleta wageni that's question
 
Back
Top Bottom