Mbunge wenu naniInashangaza kuona tunapoelekea
CEO msaada wako wa haraka kuna miradi ya watu kuuza maji. Leo hii wiki ya pili akuna msemaji watu hawana maji.
Wenye uwezo wameanza leta madumu wanauza 1000,familia ya watu watano wanatumia elfu tano kwa siku? Mnatupeleka wapi wengine.
Msaada wako please hata kama wameanza miradi yao ya kuuza maji tunaomba wasimamishe wasubiri mwezi ujao, jamani huku mwendokasi huku uweke maelf ya maji.
Kibaya zaidi dawasco wako kimara etii..! Mitank kibao mpaka pakaitwa kimara matankini...Basi huko Kimara hakufai.....wala vumbi wa huko full vikwapa tu.
Mwambieni magu atoe pesa maji mpewe mkurugenzi hawezi kutoa mfukoni mwake msiogope kumwambia tatizo serikali haitoi pesa ya kusukuma maji kule mlimani flow ya kawaida haiwezekaniNi washenzi sana hawa jamaa hivi unaendaje kuchuku ujira ujafanya kazi???
Rais magufuri ebu tutumbulie huyu manager wa dawasco na vinyamkera wake kazi kutusumbua kwenye mageti kusoma metre huku maji hakuna...! Mpyuuu poor dawasco...
Inashangaza kuona tunapoelekea
CEO msaada wako wa haraka kuna miradi ya watu kuuza maji. Leo hii wiki ya pili akuna msemaji watu hawana maji.
Wenye uwezo wameanza leta madumu wanauza 1000,familia ya watu watano wanatumia elfu tano kwa siku? Mnatupeleka wapi wengine.
Msaada wako please hata kama wameanza miradi yao ya kuuza maji tunaomba wasimamishe wasubiri mwezi ujao, jamani huku mwendokasi huku uweke maelf ya maji.
Msitusumbue,mwambieni mbunge wenu awape maji.Yaani tuache kuwaletea watu wetu kwa mh Zungu Ilala tuhangaike kupeleka maji kwa saccos,thubutu!Umie hivyo hivyo hadi akili iwakae sawa.Au zungusheni mikono mtapata maji.Sukari amna,maji amna,umeme wa shida.Hii serikali inatupeleka wapi?
Umieni hivyo hivyo.Mabadiliko-Kubenea,Kubenea-mabadiliko.Zungusheni mikono juu maji yaje!Sio uko mpaka ubungo akuna maji pia. Maji ayajatoka wiki ya 2. Duh hatari Sana. Wauza maji Wana roho ngumu sana. Maana wanaona akuna maji basi wanapita wanatangaza na kipaza sauti kwamba wanauza maji. Kweli kufa kufaana
Achana nao hao wataka mabadiliko.Na hayo ndiyo mabadiliko waliyotataka.Mbunge wenu nani
Mbunge wenu anaendelea kula bata tu.Acheni kulalamika ndio kubenea huyoInashangaza kuona tunapoelekea