CEO WA AZAM MEDIA angatuka

motowntz

Member
Aug 14, 2014
18
14
CEO Azam Media Rhys Torrington , mwenyeji wa Uingereza amejiuzulu wadhifa huo na kuhamia Econet Media inayomilikiwa na Mzimbabwe , Strive Masiwiya.
 
Huyu Strive Masiwiya naona posts zake Facebook.... Very inspiring..
 
Back
Top Bottom