Ceo chizi.p wa atcl jihadhari na magazeti yalimgeuka mattaka hayo hayo!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ceo chizi.p wa atcl jihadhari na magazeti yalimgeuka mattaka hayo hayo!!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Sep 25, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Nikisikia engineer heshima yake inaongezeka maradufu
  siku niliposikia atcl inaongozwa na engineer kichwa yangu ilifurahi maana
  siku zote wanaoujua vichwa vya ma engineer ukiacha matatizo yetu tuliokuwa nayo udsm
  yaliofanya wengine kunywa pombe ovyo lakini tunafaulu..mwishowa siuku tunaongoza vyombo
  muhimu
  kwako mkuu paul chizi..
  Hongerasana kwa kupewa majukumu makubwa ingawa bado nalalamika wanaitaji
  kukupa sapoti kubwa ikiwemo kuweka sheria za kusiadia atcl kutanuka duniani
  kote pamoja na kuhakikisha kila mfanyakazi wa serikalini anapanda ndege ya atcl
  binafsi nakupongeza kwa hili..na zaidi ya yote nakupongeza kwa training zonazoendelea
  ambazo tumekuwa tukizizoma kwenye magazeti yetu hasa mwananchi..nimewiwa kuona
  una muelekeo wa watu kujua nini wanachofanya ingawa ni wakati sasa wa watu kuwa na conc
  training badala ya kuweka training kwa watu wachache tu na hivyo wengine kuonekana awana maana
  katika nafasi zao

  ndugu kakayetu paul wakati mwingine wa kukumbushana haya haya magazeti sio mazuri sana
  kuyatumia wakati mwingine ni rahisi sana sana kuwageuka ..ni watu wazuri sana sana lakini
  ni wabaya pale wanapoona mambo ayaendi vizuri.....nafurahi kuona maendeleo mazuri
  kwenye kampun yetu same nisingependa kuona haya magazeti yakishabikia sana nini kinachoendelea
  atcl ninao ushahidi wa magazeti ambayo ukini pm ntakurushia yalioipongeza saana atcl na siku
  wanasikia aina hata ndege walidiriki kuandika kile wanachoweza kuandika

  nakutakia maisha mema na kazi nzuri ikiwemo sapoti kwa kila sehemu mungu akubairiki natumaini
  mawazo yetu sio ya kufurahisha sana lakini yanajenga na kuimarisha kampuni yetu tukufu

  kila la kheri eng paul chizi binafsi ningeomba kila wanapooandika jina lako waakikishe wanaanzza na
  eng.p.chizi
   
Loading...