Waliotemwa ndio wanaowapelekeaga moto mpaka maji mnayaita mmaa, waliotemwa ndio wamewanyang'anya ubingwa na kumaliza unbeaten, waliotemwa ndio wamemaliza kwa kuchukua kila kitu msimu huu, kumbe kusajili wachezaji waliotemwa ni bonge la dili maana wanayo impact kubwa kwenye timu🤣🤣