Center for New Technologies

Center for New Technologies

Kama inaanzishwa iwe imebase in private mode coz government facility zote naona kama zimefail, then again our companies have to embrace R&D, because wao ndio wanunuzi wakuu wa technology!

lakn mkuu nimejiuliza TIRDO, TEMCO na wenzao wa kufanana nao wako chni ya wizara ya viwanda na biashara sasa je wameweza kufanya nn?? je wanawatumia vipi wasomi wetu???

ifike mahali tulazimishe sisi kama vijana with serious minds kwamba tunataka govt i-fund haya na ianzishe center ambayo najua kabisa kuiekea vifaa ni gharama kubwa sana, ila wanaweza kupata donors wakasaidia, kwa private ownership itakuwa ni gharama sana kwa mwanafunzi kiasi kwamba mwisho wa siku atashindwa kuiuza kwani soko litamgomea.ila hebu tujadili option zote mbili tuone inakuwaje.
 
uko sahihi lakin sasa wafikir tufayeje ili kushawish serikali yetu tuwe na tafiti zenye tija??? nimejiuliza sana kwann wengi hata wanasayansi mwisho wa siksu wanakimbilia kufanya tafiti ambazo ni za social sciences like factors........... ama ways to............... nilio ongea nao walinijibu sisi tunafanya hizi manake msuli wake ni mdogo na mwisho wa siku na graduate na situmii hela na huyu anayesema haya unakuta ni mfamasia ama ni muhandisi. nikajisemea hivi ingekuwa tafiti hizi ni industrial based mtu anakomaaa lkn mwisho wa siku anapata cheti na bidhaa iko sokoni wafikiri wangekuwa wavivu?? wasomi hasa wanafunzi wa vyuo vyetu wanajaituma sana kama tu wakitengenezewa mazingira mazuri ya kujituma na kupata faida.

Nakubaliana na wewe kabisa most reaseach zinafanyika bongo ni za namna hiyo but then again funding ni critical sana to get a good research nakupa mfano currently am working on fatigue of composite materials and my department estimate it will cost around $100000 for the three of us to have good data! Our companies have to play a major role in this, let us start there, we convince them they need research once they avail money quality research will follow
 
sasa hapo umeongea, but am sure kwenu matokeo ya utafiti wenu yatamzalishia aliye wa-fund hela zaid ya hizo. labda nikuulize swali kuna sababu gani ya mtu kama wa chemi cotex kuagiza lysosome nje ya nchi kitu ambacho mfamasia anaweza kumtengenezea maabara tena akiwa hapo kiwandan mwake je wafikiri anapata hasara kiasi gani???

kimsingi hakuna haja ya viwanda vyetu kubaki kuwa watu wa kuassemble tu wakati twaweza kutumia vichwa vya wasomi wetu kutengeneza products.......... ugumu niuonao ni pesa lkn sasa hebu tuzifanye shule zetu zetu apart from academia but also an industry uone tutakavyopiga bao umaskini???
 
Wana jamvi,

I was thinking that we real need to have center for new technologies or emerging technologies here in Tanzania. Nimejaribu kuangalia kwa nchi kama Kenya, Cameroon, Nigeria Ghana na nyinginezo za Afrika wanazo hizi center tena ambazo zinadevelop kwenye applied researches kuliko hapa kwetu ambako tafiti zetu nyingi ni promotional kind of research.

Aina ya centre, kwa mtazamo wangu nafikiri iwe ni center ambayo wanafunzi wa sayansi hasa wa levels za masters na PHD watakuwa sponsored kufanyia tafiti zao na kuwe na vifaa vizuri na vya kisasa na mwisho wa siku kila kazi ya kisayansi ituletee product sokoni kwa manufaa ya mwanafunzi mwenyewe na taifa lenyewe.

Mfano: Mwanafunzi wa physics anapoweza kutengeneza polymers kwa kutumia x-ray diffractions na polymer hii yaweza kutumika kwa matibabu so mwanafunzi ataweza kuipatent na kupata hela huku akisaidia taifa kwa usomi wake.

Naombeni mchango wenu, juu ya hili na pia kama mnaafiki basi tujadili tuanzie wapi manake watu wa ku-collaborate nao wapo na wanatamani ila kwa hapa kwetu sijui nianzie wapi.

I like the idea. However, the main obstacle will be funding. Most companies in Tanzania don't invest in R&D. There has to be established a center of excellence/center for technology and science after which both the government and private sectors should fund and promote it. All key players in science and tech filed in this country must be fully comitted and involved e.g. FoE, Tz Tech Comission, Math ans science students and academicians etc.
Addionally, we should also have schools of math and science for every region in the nation e.g. Dar school of math & science, Arusha, mwanza etc. South Korea is where it is today because of this idea of yours.
Thanks
 
sasa hapo umeongea, but am sure kwenu matokeo ya utafiti wenu yatamzalishia aliye wa-fund hela zaid ya hizo. labda nikuulize swali kuna sababu gani ya mtu kama wa chemi cotex kuagiza lysosome nje ya nchi kitu ambacho mfamasia anaweza kumtengenezea maabara tena akiwa hapo kiwandan mwake je wafikiri anapata hasara kiasi gani???

kimsingi hakuna haja ya viwanda vyetu kubaki kuwa watu wa kuassemble tu wakati twaweza kutumia vichwa vya wasomi wetu kutengeneza products.......... ugumu niuonao ni pesa lkn sasa hebu tuzifanye shule zetu zetu apart from academia but also an industry uone tutakavyopiga bao umaskini???

Exactly my point yani our companies have to embrace R&D first ndio tusonge mbele, there must be close link between researchers and manufacturing!
 
Exactly my point yani our companies have to embrace R&D first ndio tusonge mbele, there must be close link between researchers and manufacturing!

ngoja nikwambie, unajua hapa wizara ya viwanda na biashara ikiweka sera kwamba technolojia iliyoko ndani itumiwe kwenye viwanda vyetu, na huku watu wa quality assurance wakikazana kuahakiki kiwango cha ubora cha teknolojia husika lazima viwanda vitanunua tu manake kwanza itakuwa ni lazima lkn pia itakuwa ni cheap. ni mtazamo wangu tu niko tayari kukosolewa
 
I like the idea. However, the main obstable will be funding. Most companies in Tanzania don't invest in R&D. There has to be established a center of excellence/center for technology and science after which both the government and private sectors should fund and promote it. All key players in science and tech filed in this country must be fully comitted and involved e.g. FoE, Tz Tech Comission, Math ans science students and academicians etc.
Addionally, we should aso have schools of math and science for every region in the nation e.g. Dar school of math & science, Arusha, mwanza etc. South Korea is where it is today because of this idea of yours.
Thanks
now i believe in the say that, ugumu wa maisha kipimo cha akili. i was thinking of this just from what am doing and nikajiualiza hivi pangekuwa na mahali pa kuuza ninayoyafanya where will i be?? je nitauza haya wapi?? nikajikuta nabaki kulalamika tu kwamba nala chaki lkn ukweli science exhibition ninazofanya na wanafunzi wangu ni bidhaa tosha kwenye soko la elimu but nauza wapi??

haya ni kwa mm ambaye ni mwl wa phy na chem sasa kwa mtu baki kama mfamasia na IT specialist?? si zaid yangu?? ama je vipi kwa biotechnologist na microbiologist si watakuwa mbali zaid???

hebu propose tuanzie wapi na real am ready kujitoa mhanga kushinikiza.
 
ngoja nikwambie, unajua hapa wizara ya viwanda na biashara ikiweka sera kwamba technolojia iliyoko ndani itumiwe kwenye viwanda vyetu, na huku watu wa quality assurance wakikazana kuahakiki kiwango cha ubora cha teknolojia husika lazima viwanda vitanunua tu manake kwanza itakuwa ni lazima lkn pia itakuwa ni cheap. ni mtazamo wangu tu niko tayari kukosolewa

That will be kinda trick, kumbuka at the end of the day every company will go for quality so the best way for it to work will be to let companies fund their research that is the practice all over!
 
That will be kinda trick, kumbuka at the end of the day every company will go for quality so the best way for it to work will be to let companies fund their research that is the practice all over!

haya nashukuru sasa hapa umenielewesha vizuri sasa je wafikir hivi viwanda vitashawishiwa na nani??
 
haya nashukuru sasa hapa umenielewesha vizuri sasa je wafikir hivi viwanda vitashawishiwa na nani??

People like you who have seen that opportunity, by the way it can work but a lot of handwork will be needed!
 
now i believe in the say that, ugumu wa maisha kipimo cha akili. i was thinking of this just from what am doing and nikajiualiza hivi pangekuwa na mahali pa kuuza ninayoyafanya where will i be?? je nitauza haya wapi?? nikajikuta nabaki kulalamika tu kwamba nala chaki lkn ukweli science exhibition ninazofanya na wanafunzi wangu ni bidhaa tosha kwenye soko la elimu but nauza wapi??

haya ni kwa mm ambaye ni mwl wa phy na chem sasa kwa mtu baki kama mfamasia na IT specialist?? si zaid yangu?? ama je vipi kwa biotechnologist na microbiologist si watakuwa mbali zaid???

hebu propose tuanzie wapi na real am ready kujitoa mhanga kushinikiza.

Why don't you start by going to register a company or organization, then once you are done wth the registration come back and let's know?
 
Why don't you start by going to register a company or organization, then once you are done wth the registration come back and let's know?

a company??? for what??
anyways i own one but it deals with supplies and not technology transfer or R&D. HOWEVER i was thinking of becoming a technology diffusion and commercialization expert but i dont know who will be my clients hahahhaha! narrow minded creature..........poor me
 
121105051613-kelvin-soldering-story-top.jpg

[h=1]DIY Africa: Empowering a new Sierra Leone[/h]Editor's note: David Sengeh is a doctoral student working at MIT's Media Lab.
By David Sengeh, Special to CNN
(CNN) - When Kelvin Doe, a then-13-year-old from Sierra Leone, saw that off-the-shelf batteries were too expensive for the inventions he was working on, he made his own at home. Kelvin did not have the privilege to do his project in a school environment. Rather, he was compelled to act by necessity and for the joy of solving practical problems. Kelvin combined acid, soda, and metal, dumped those ingredients in a tin cup, waited for the mixture to dry and wrapped tape around the cup to make his first battery. He failed several times before completing a final, working prototype. He hasn't purchased a battery since.
 
121105051613-kelvin-soldering-story-top.jpg

Next up: A generator. Kelvin made one of those by hacking an old rusty voltage stabilizer he found in a dustbin. The generator's motor, plug, and other components are either homemade or picked from the garbage. In addition to providing electricity to his home, where neighbors come to charge their mobile phone batteries, the generator powers Kelvin's homemade FM radio station, fully equipped with a custom music mixer, recycled CD player and antenna that allow his whole neighborhood to tune in. Now 16, Kelvin has expanded operations: he employs his friends as reporters and station managers, tasking them to interview spectators at local soccer games and keep the calendar of requests for his DJ services at parties and events. The average age of his crew is 12.
I am a doctoral student at the Massachusetts Institute of Technology (MIT) Media Lab working on developing the next generation of prosthetic sockets and wearable mechanical interfaces. I am motivated to do this work by the needs I have seen in my country, Sierra Leone, and elsewhere. At the MIT Media Lab, I have access to immense resources and expertise. But it has become apparent to me that when I take the prostheses back to Sierra Leone, the machines and technologies needed to maintain them will be left at my lab. And, as important, the recipients of the technology will not have participated in finding solutions to their problems nor shared in the joy of creation.
To create an interest in innovation - a key driver of national development - I recently launched a national high school innovation challenge, called Innovate Salone, in Sierra Leone through an international organization called Global Minimum. In March 2012, we asked students to invent solutions to problems that they saw in their daily lives. Six weeks later, 300 students submitted applications encompassing some of Sierra Leone's toughest problems. Some of them proposed new ways of providing quality education via the radio. Others suggested new agricultural programs for their communities. Eight finalist teams received several types of assistance: $500 to develop a prototype for their ideas; access to a network of local and international mentors; an invitation to a 3-day immersive summer innovation camp; and an additional $1,000 if their initial prototypes were still considered feasible, innovative, and especially promising after the first phase of development. Kelvin and I crossed paths through the Innovate Salone program.
Kelvin, who, before this past summer's innovation camp, had not left a 10-mile radius of his home, was at the 2012 World Maker Faire held in New York at the end of September. He was invited to participate in a "Meet the Young Makers" panel with four other amazing young makers from America. He is the youngest person in history to be invited to the "Visiting Practitioner's Program" at MIT, and he presented his inventions to undergraduate students at Harvard College and MIT. Other people Kelvin got to interact with include technology visionaries like Nicholas Negroponte of MIT Media Lab and education leaders like President Drew Faust of Harvard University.
While Kelvin indeed has special talents, he is not the only young person in Sierra Leone ready to embrace opportunities like this. Since the launch of Innovate Salone, I have encountered young boys and girls who are pursuing their dreams. One girl has started boiling leaves because she wants to launch a fragrance company. Another young man, who has taken classes on MIT Open Courseware, is making huge strides in creating a robot in his house.
As a Sierra Leonean who was given an opportunity to pursue biomedical engineering at Harvard and now a Ph.D. at MIT, I understand that a basic set of tools and a supporting platform are needed to transform good ideas into projects that impact an entire community. Innovate Salone is hoping to make those tools and that support widely available. The youth of Sierra Leone are ready and capable of transforming their country. By providing them with resources and creative freedom, we can spark the joy of discovery that results in innovation and ultimately, national development.

cnn.com

November 14th, 2012
08:36 AM ET

Editor's note: David Sengeh is a doctoral student working at MIT's Media Lab
 
Back
Top Bottom