Labda kwenye serikali ya Lowassa hao mafisadi watakuwa na uwanja wa kutanua. Lakini sio serikali ya Magufuli.
#HapaKaziTu
Tanzania ya maguful?
!!!!!!!
Nchi itajengwa na mtu mmoja?
Mtu ambaye amesimamia ujenzi wa barabara chini ya viwango,
Mtu aliyeshindwa kulipa wakandarasi na sasa nchi inalipa faini ya kuchelewesha malipo
Mtu aliyeuza nyumba za serikali kiholela,
Mtu aliyeshika wachina kwa kuvua samaki akitaka sifa kumbe hakuwa na hoja za msingi sasa nchi inaingia hasara ya mabilion kulipa fidia,
Mtu anayesema ataunda mahakama maalum ya mafisad wakati serikali yake imeshindwa hata kujaribu kuwashtaki, inalalamikia wananchi na kushika wapinzan tu.
Mtu mnafiki anayejifanya anachukia rushwa wakat anatumia gar za serikali kufanya kampen, anagawa tisheti na kofia kwenye kampeni zake, anahonga watu pesa ili wahudhurie mikutano yake, anabeba watu kwa malori kwenda kwenye mikutano yake, RUSHWA TUPU.
Mtu ambaye anaikosoa na kuilalamikia serikali ambayo yeye bado ni Waziri katika baraza la mawaziri na hasemi amefanya nn kuondoa kero za wananchi akiwa kama mshaur wa rais kama Waziri,
Mtu asiye na utu wala huruma kwa wananchi wanyonge, alisema wapige mbizi, wasambaze vinyesi barabarani viwe lami,
Mtu aliyeishiwa hoja na kutaka ikulu kwa kutisha watu kuwa wakichagua upinzani itatokea vita maana yake n kuwa hayupo tayari kukubal maamuz ya wananchi kuikataa ccm,
Mtu ambaye hawez kupanga wasimamizi vizur hadi aende saiti akasimamie mwenyewe, sasa rais akienda saiti sjui itakuwaje?
Mtu ambaye hana uzoefu wa uongoz, hajawah hata kuwa baloz wa nyumba kumi kwenye chama.
Mtu ambaye inasadikika hajui kingereza vizuri
Mtu ambaye anatumia kiki ya kusalimia watu kwa kikabila kwenye kampeni wakati watanzania tunaunganishwa kwa kiswahili.
Mtu ambaye anapiga push up jukwaan mbela ya watoto na wajukuu wkat hana hata historia ya kwenda Jim,
Mtu ambaye anadhihaki afya ya mwenzie wkat yy alienda kwa babu wa loliondo kugonga kikombe.
Mtu ambaye so and so and soooo.
Lowasaaaaaaaa
Mabadilikoooooo