Cement ya pakstani

Cement ya pakstani

Upo sahihi kabisa. 4,000*1.25 = 5,000 na 5,000.00 * 1.18 = 5,900.00

Hapo usafiri ndiyo utakaoeleza bei ya mfuko iwaje ukitoa port charges, na claring agent cost.
Za Arusha Mkuu??
Kuna kitu tunaruka kwenye hii formula.
Hizi kodi hua zinapigwa kwenye bei ambayo imeshajumuisha na freight.

Yaani kama freight ni labda 3,000/- basi itakua (4,000+3,000) x 1.25 x 1.18 = 10,325/-
 
Upo tayari kutoa tsh ngapi na mifuko mingapi???na ni aina gani hasa unayotaka???funguka ...sms +971504374387 kama upo serious tutafanya kazi

Mkuu samahani nilipotea kidogo, niko serious nahitaji mifuko kama 600 hivi. Hebu nipe utaratibu nitakutumia msg pia
 
Container kutoka Dubai na Dar 40ft halizidi $200. Issue ni je kwenye container la 40ft inaingia mifuko mingapi ya cement. Kama inaingia mifuko 1600 basi gharama za usafiri ni $2000/1600 = $1.25x 1650 = Tsh2,063

Kwa hiyo gharama zote ni
4000 + 2063= (6,063x1.25)x1.18 = 8,943

Port charges, agent fee, usafri kutoka bandarini na mizengwe mingine ya bandarini ~Tsh.2,500,000
Cost per bag = 2,500,000/1600 = 1,563
Jumla kuu 8,943 + 1563 = 10,506

Tsh 10,506 unakuwa na Cement yako Kimara, Mbweni au Bungu unajenga.
 
tatizo la jf siku hizi hakuna thread inayoisha bila wanajf kadhaa kumtaja dr. Slaa.

Toeni ukungu huo kwenye akili zenu, uzi wa maana mnaanza kuingiza siasa.

Wakuu tupeni cost ya kuagiza mpaka dar, mi nahitaji mifuko 500 hivi
mnaotaka faida kubwa hivi hamjui ni dhambi!?
Liserikali lipo kinywa!
 
ADK said:
he siasa tena

Tatizo la JF siku hizi hakuna thread inayoisha bila wanaJF kadhaa kumtaja Dr. Slaa.

Toeni ukungu huo kwenye akili zenu, uzi wa maana mnaanza kuingiza siasa.

Wakuu tupeni cost ya kuagiza mpaka Dar, mi nahitaji mifuko 500 hivi

Nchi hii siasa ndiyo inagusa nyanja zote za maisha ya mtanzania, angalia wenzetu Cement 4,000/= sisi 19,000/=. nani katuroga? Jibu ni Siasa na Ufisadi!
 
Nchi hii siasa ndiyo inagusa nyanja zote za maisha ya mtanzania, angalia wenzetu Cement 4,000/= sisi 19,000/=. nani katuroga? Jibu ni Siasa na Ufisadi!

Anko wala usiongee kuhusu hili ni maumivu tu... Nahisi labda kiongozi tukamtoe huko aje atupe mbinu, maana hii ni aibu.
 
hii thread nzuri sana , kwa hiyo kontena la ft 20 na ft 40 cement mifuko mingapi inaingia ?
 
mkuu hebu funguka vizuri hayo mahesabu, manake kama vile hueleweki!

Container kutoka Dubai na Dar 40ft halizidi $200. Issue ni je kwenye container la 40ft inaingia mifuko mingapi ya cement. Kama inaingia mifuko 1600 basi gharama za usafiri ni $2000/1600 = $1.25x 1650 = Tsh2,063

Kwa hiyo gharama zote ni
4000 + 2063= (6,063x1.25)x1.18 = 8,943

Port charges, agent fee, usafri kutoka bandarini na mizengwe mingine ya bandarini ~Tsh.2,500,000
Cost per bag = 2,500,000/1600 = 1,563
Jumla kuu 8,943 + 1563 = 10,506

Tsh 10,506 unakuwa na Cement yako Kimara, Mbweni au Bungu unajenga.
 
mm sinajua ubora wa hiz cement, je in ubora sawa na wa twiga na simba, mainjinia wanaozitumiA WATUJUZE
 
Nimeongea na mdau wangu SDV ameniambia kuwa container kutoka Dubai kuja Dar haizidi usd1500 kutoka Pakistani haizidi usd2000, kwenye kupakia mzigo hautakiwi uzidi tani 23 kwenye container,So ni bora kuwrka mzigo wote kwenye 20ft container sbb hata ukitumia 40ft uzito ni huohuo tu. Kwahiyo kutumoa 40Ft ni hasara. Ss hapo pigeni hesabu wadau . Mm naona ni uwezo wa mtu mmoja kuagiza bila kushea xontainer na mtu sbb itakuwa ji mifuko kama 460 kwenye container.
 
Kwei kabisaa mkuu wala hujakosea, je mfano mtu akitaka mfano kununua na kuja kuiuza hairuhusiwi na kama inaruhusiwa mauzo yake yanakuwaje labda?
 
Mpigieni huyu yuko dubai anitwa Mohd Khamis na ameshawaletea wafanyabashara wengi komtena za saruji hapa +971528284085
 
Kwa hesabu za haraka mpaka mfuko kutoka dubai mpaka dar mpk nyumbani au dukani ni mifuko 560+ usafiri 1730+
9440-8900 ushuru 530 ni hii. 10,530
 
Kwa hesabu za haraka mpaka mfuko kutoka dubai mpaka dar mpk nyumbani au dukani ni mifuko 560+ usafiri 1730+
9440-8900 ushuru 530 ni hii. 10,530

Mkuu Jodari na sasa hivi mfuko mmoja dukani unauzwaje??bei ambayo maduka mengi wanauza?
 
Last edited by a moderator:
ni TZS 15000 mpaka 19000 inategemea uko mkoa gani...

Ohh asante sana mkuu hapo nimekuelewa nashukuru sana, na mikoani hivi bei yake ipoo juu sana au bei sio kubwa sana huko??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom