Aika Mndumii
Senior Member
- Jan 19, 2013
- 164
- 47
Wakuu,
Nataka mifuko 200 ya cement. Site yangu ipo Kigamboni eneo la kibada kwenye viwanja vya serikali mita 800 kutoka full shangwe. Nataka cement ya Twiga. Kwa kuwa ni cement nyingi budget yangu ni 12,900 kwa mfuko. kama tukikubaliana then in one month time nitahitaji tena mifuko 250. Ila kwa kazi inayofanyika sasa nahitaji hiyo mifuko 200. Kama unaweza kuniletea mpaka site tafadhali nijulishe ili tuwasiliane.
Natanguliza shukrani. Ushauri pia utazingatiwa