Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,833
- 2,790
Ila binafsi hili jina la "Zain" linanibore sana...halijakaa kibiashara...wangemalizia tu kama ni Zainab tujue. Halafu hiyo mirangi yao Black, sijui light blue, dark pink...haiendi haiendi...please....

Mama Lao ebu soma what Mr Bashar Arafeh the chief operating officer (COO) for Zain East Africa Region, said in a statement that the new name is more colorful and targets mass markets, with the slogan shifting to 'a wonderful world' from 'making life better' for all of the 22 operations of the group worldwide
Nimekuwa nikijiuliza nini maana ya kubadili badili majina ya makampuni makubwa kama vile, SHERATON iligeuka kuwa ROYAL PALM na sasa MOVENPICK. Pia makampuni ya simu kama Mobitel ikageuka kuwa tiGO. Lakini hili la sasa la kampuni ya simu celtel kuwa ZAIN limenifumbua macho. Nimejiuliza huku na kule mwisho nikapata jibu kwamba, kila kampuni hupewa kitu kinaitwa "Tax Holiday" ambapo mkataba huwa miaka mitano mitano ambapo kampuni husika huwa haipaswi kulipa kodi yoyote. Kwa hiyo hzinduzi wa makampuni haya kwa kubadilisha majina nimeona ni mzigo kwa jamii, kuna ufisadi mkubwa unafanywa, wananchi tumechoka, hatutaki.
I am neither impressed nor convinced......inani bore and thats it. Zain is not colourful to me neither does it appeal anything...fanya uchunguzi ..I have done it myself. People are not impressed.
Hapana Mkuu sidhani kama Tax Holiday ndiyo sababu ya celtel to rebrand its name.Coz before Celtel was formely known as Celtel International therefore Celtel Tanzania had to join its sister companies in Africa and the Middle East in adopting the brand name Zain as part of rebranding the entire African operations from Celtel.
Before, the Kuwait mobile operator was trading in 14 African markets as Celtel International.
This move is aimed at unifying the company's 22 operations to become one of the leading borderless networks in the world.
Sasa when you talk about Sheraton being Royal Palm from my past knowledge of this company is Sheraton failed to run the hotel therefore they had to sell it to Royal Palm therefore dont be astonished to hear it one day also being named Hilton Hotel.
The same thing applies to Novotel in Arusha which collapsed and it will soon be opened and be named Holiday Inn.

...u have no idea wewe seems bado umelala na unakuja na porojio zako hapa bila aibu...kweli wajinga ndio waliwao!
Hapana Mkuu sidhani kama Tax Holiday ndiyo sababu ya celtel to rebrand its name.Coz before Celtel was formely known as Celtel International therefore Celtel Tanzania had to join its sister companies in Africa and the Middle East in adopting the brand name Zain as part of rebranding the entire African operations from Celtel.
Before, the Kuwait mobile operator was trading in 14 African markets as Celtel International.
This move is aimed at unifying the company's 22 operations to become one of the leading borderless networks in the world.
Sasa when you talk about Sheraton being Royal Palm from my past knowledge of this company is Sheraton failed to run the hotel therefore they had to sell it to Royal Palm therefore dont be astonished to hear it one day also being named Hilton Hotel.
The same thing applies to Novotel in Arusha which collapsed and it will soon be opened and be named Holiday Inn.
There is also one thing about rebranding. Zantel is an upcoming mobile provider in which Etisalat has acquired stakes and Etisalat being valued at USD 38.7 billion and positioned as the 219th largest company in the world and the largest telco in the Middle East and Africa by the Financial Times (FT 500) at the end of the first quarter may in my own 'speculations' rebrand Zantel.
Just prophesing what may take place in the future.
Chukulia tunaempenda, tulie mzoea na tumekua naye na tukifanya naye shughuli tofauti (That is Celtel) amekufa - na sasahivi tuna kijana mpya ndio amezaliwa; tunaanza mzoea na tutamtumia kama akitufurahisha ( That is Zain).
Kinachotokeya hivisasa ni tuko katika kipindi cha huzuni cha kumuomboleza na kumsahau Celtel - na kumzoea Zain. Ndo maana tunajiuliza mengi haya kichani mwetu! Uzuri ni kwamba watu wa marketing wameshatabiri kuwa haya tunayojiuliza hivisasa yatatokeya. Through communication wataweza kumuka vizuri Zain kwenye mawazo yetu na kutufanya tumsahau Celtel.
Kuhusiana na rangi tukumbuke Celtel last branding color was strong - and almost visible katika macho yetu - na ilikaa kiafrika afrika - udongo mwekundo (ardhi na watu wake) na njano kama (jua kali)
Kuhusiana na Zain iangaliye na utafsiri mwenyewe - kukusaidi angalia picha ya galaxy yetu ilivyo! mtunzi amesha kusaidiya kukuambia juu ya a wonderful world!