Celtel na International text Messages

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,078
93
Naona hamna thread ya Tekelinalokujia, au labda niko chakari bin bwii hata silioni.

Nina swali. Kuna tatizo gani celtel? Mtu akinitumia messeji kutoka bongo, hiyo meseji inajituma si chini ya mara 10. Rekodi leo imefika 32...... Gadaaamn. Sort it out.

Kuna mwingine nje ya TZ ana matatatizo haya? Sijaona makampuni mengine yana matatizo, lakini hawa Celtel wanaondoa utamu wa meseji zangu ebooo!! Gongo bin komoni ikinipanda mi nitawapandia juu ya milingoti yao niinyofoe ohooooo...inaboa sasa. gadaaaaaamn.
 
Du mzee nilifikiri washikaji zangu Tanzania ni vimeo wanatuma same sms zaidi ya mara kumi...naona ni shida ya Celtel am getting the same multiple copies hapa Swiss

Ush
 
noma. ngoja tusikie wengine wanasemaje.
 
Naona hamna thread ya Tekelinalokujia, au labda niko chakari bin bwii hata silioni.

Nina swali. Kuna tatizo gani celtel? Mtu akinitumia messeji kutoka bongo, hiyo meseji inajituma si chini ya mara 10. Rekodi leo imefika 32...... Gadaaamn. Sort it out.

Kuna mwingine nje ya TZ ana matatatizo haya? Sijaona makampuni mengine yana matatizo, lakini hawa Celtel wanaondoa utamu wa meseji zangu ebooo!! Gongo bin komoni ikinipanda mi nitawapandia juu ya milingoti yao niinyofoe ohooooo...inaboa sasa. gadaaaaaamn.

Celtel ni 0784? Kama ndio hiyo, basi ata mimi huwa na experience hizo multiple sms. It's crazy
 
Yep!! Pia 0786...imebidi nizichunguze hizo namba leo ndio nikagundua ni Celtel. Lakini mtu aliye bongo hapotezi pesa. Tatizo wewe mpokea meseji.
Mara ya kwanza inatokea nilifikiria mtu anasisitiza saaana. Kidogo nimpandishie....kumbe kosa la Celtel.
Celtel,mnatupa preshaaaa...
 
duh hiyo kalii!mara 32 msg moja??ngekua nshamtusi huyo mtu longiii kama ni mdogo kwangu aisee!
 
Wot is the source of the problem? Maana hata mie huwa mpaka nazima simu Je kwa aliyetuma anachajiwa? . Nilijaribu kupiga customer service Dar hawajui wot I was talking about. Mlio TZ jamani ulizienini kulikoni?
 
Naona hamna thread ya Tekelinalokujia, au labda niko chakari bin bwii hata silioni.

Nina swali. Kuna tatizo gani celtel? Mtu akinitumia messeji kutoka bongo, hiyo meseji inajituma si chini ya mara 10. Rekodi leo imefika 32...... Gadaaamn. Sort it out.

Kuna mwingine nje ya TZ ana matatatizo haya? Sijaona makampuni mengine yana matatizo, lakini hawa Celtel wanaondoa utamu wa meseji zangu ebooo!! Gongo bin komoni ikinipanda mi nitawapandia juu ya milingoti yao niinyofoe ohooooo...inaboa sasa. gadaaaaaamn.

yaani mshikaji weee acha tu mie siku ya mwanzo nilipata sms kutoka kwa my SWEET HEART si unajua tena,basi zikawa zinaingia more than once nikaona duh labda ndio ANASISITIZA KUWA ANANIPENDA,ikaingia kama mara 10,nikaridhika roho yangu si unajua tena.

basi nx time nikawa napata sms kutoka kwa washikaji nikaja kugundua kuwa hizo sio kawaida nikajua lazima kuna problems,after all issue kama hizo kwa akina sisi tuliotokea ktk FIELDS YA TELECOMMUNICATIONS inakuwa rahisi kugundua mambo kama hayo.

nafikiri kuna problmes.
 
Lol. Pole sana.
Ila hili tatizo la miezi.
 
Lol. Pole sana.
Ila hili tatizo la miezi.

yeah ni problema ya muda, mwanzoni ilikuwa zinakuja zaidi ya kumi, na amazingly mtu ametuma mara moja lakini anakatwa mara hizo kumi au zaidi, kama zaidi ya dola moja kwa message moja

updated information nilizo nazo ni kuwa japokuwa hawakatwi lakini ninapata bado multiple messages, ijapokuwa idadi yake sasa inapungua kidogo walau tatu but its annoying!

hao wenzao tigo sijui wamezidiwa, ukituma sawa wao kukutumia haiwezekani! (0713,14,17,etc)

hao jamaa wanajua kuvuna faida tu hawajali kabisa wateja
 
Hili tatizo lipo mpaka huku Verizon/ Sprint lakini siyo mara kumi kumi.Nishaona sana message kujirudia mara mbili mpaka nne siku nyingine.

Wataalam wa Verizon/Sprint wanasema hii hutokea kama system ya receiver huwa haiwi notified na cellphone kwamba imepokea hiyo text message (bad connectivity etc) kwa hiyo huendelea kuituma kama vile haijapokewa.Ukitaka kuistop unaweza ku-power off the receiving phone right after receiving the first message and then powering it on.

Uzuri ni kwamba nafikiri katika mambo ya accounting inahesabika kama message moja tu.

I know, it is a pain, there has got to be a better way.
 
mie sijawahi kupata sms za namna hii za celtel...mke wangu anayo celtel na kwa experience ni kuwa CELTEL hata voice quality wapo better kuliko wengine.
Tatizo kama hili lilinitokea huko nyuma na watu wa BUZZ/TIGO.nikataka kumuwakia Mke wangu..baadae nilipoona na zingine zaja ikabidi nipige kutuliza hali na NIKAMUOMBA RADHI mke wangu.
Kifupi sija experience hili tatizo la CELTEL kwasasa kwasasa, may be linakwenda na HALI YA HEWA ????/
 
Back
Top Bottom