CELL INFO DISPLAY/ BROADCASTING MESSAGES

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,046
15,396
Zamani hizo mitandao ya simu ilikuwa inatoa huduma hii. Lakini siku hizi imekuwa nadra sana kuona mnara wa simu ukiwa na hii huduma. Labda uwe wa zamani sana.

Huduma hii ilikiwa inamuwezesha mtumiaji wa simu kujua yupo eneo lipi au kujua anapata na network kwa mnara uliosimikwa eneo gani.

Eg. Ubungo 1
Kihonda 3
Kibaigwa 2
Nyegezi 3

Sijui kama ww kwenye eneo lako, simu yako inakupa huu ujumbe.
 
siku hizi kuna GPS
 
Sio kwamba simu za kisasa ndio hazioneshi? Last time kutumia kitochi kilikuwa kinaonesha.
 
Back
Top Bottom