jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,807
yani alichotendwa konnie na zombie ni zaidi ya matumizi ya kawaida ya mwanadamu!LOL!
Kwa mtazamo wangu, useja ni nadhiri unayoweka kutegemea na unachotaka ku-achieve.mmmhhhh! sasa mnanichanganya...... kumbe hii hali unaweza kuwa in and out? siyo permanent?
@Snowhite hata mie simuelewi huyu Kongosho kwanini anataka kuachana na UTAMU. Kongosho NANI KANUNA? Ni aje Mkuu? lol!
Umemtamani Paroko au brother????? LOL
Why flirt or kiss kama you are not going all the way baadaye?
Unanitisha, huyu naye kala makande akavimbiwa?:mimba::mimba::mimba:
Baba enu kapinda, ndio maana watoto mnavuta hadharaniShkamoo baba. Mi naenda skuli.
Wee Babu, mie nakutegemea uokoe hii roho
Hahahahha mtani nadhani Kongosho hakuna linalomtatiza zaidi ya kutaka tu kubadili aina ya mfumo wa maisha, hataki tena mautamu yawe ya Zombie au yoyote yule....
Konnie dear waweza kuwa vile wataka kuwa wala wasikusumbue hawa...
Ukiona hivi ujue kuna padri kaingizwa (au anataka kuingizwa) kikaangoni!
Ha ha ha ha ha, umehamia Tandale
Yaani umenichekesha sana hapo blue lol
You are in.sane ujue??
Mlongo wangu, daftari lipo jirani kabisa, tena siku hizi huwa natembea nalo, kila memba anapokiri namwingiza kwa daftari haraka sana kabla hajatengua usemi, lol!ahhahahhahhahahhaahh hapa lazima zombie linune!manake akikuta tunamswalika maswali ya aian hii si litajua hatumtakii maendeleo ya kumpata the sealed konnie!katika hili inabidi tuwe vere makini kutoa maushauri! Kongosho kakwama BAK ametingwa ile mbyaaaaa!kawekwa mtu kati anafanya kuitika kwa kichwa tu!ahaahhahahhahhahahaah naona kabisa dalili ya kuongezeka teja la kudumu hapa! dada mkubwa FP ulipo lile daftari letu la register ya mateja nafikiri halipo mbali!please!please SOON AND VERY SOOON!kuna atakayekiri kwa kinywa hapa!kwa hiyo rafiki wala usijiulize maswali mengi!
Ukishafanya uamuzi basi uje nikupe mlinzi ....
Ila bange nyingine zimepitiliza kabisa .....yaani mtu anatamka kabisa kuwa anatamani kuachana na utamu wakati hajavimbiwa?
anayetaka usajili wa kudumu ni none other zan KONNIE!herself!Mlongo wangu, daftari lipo jirani kabisa, tena siku hizi huwa natembea nalo, kila memba anapokiri namwingiza kwa daftari haraka sana kabla hajatengua usemi, lol!
nani huyo anataka kuingia kwa group? ni rafiki BAK? kwani keshafika Peramiho? au kakutana na mwingine njiani?
nimekuambia mlongo wangu acha kabisa kuuza mbinu za kivita kwa maadui.......umeisahau ile kauli "if you can't fight them join them?" hawa wote wanatakiwa kutujoin maana hawawezi ku-fight na sisi, lol!
OH MY!MY!MY!kumbe zombie ni wa banana republic!Hahahahahaha yaani we snowhite ni balaa, yaani unamsema mwenzio hivyo uuuhh??
Kumbe watu wa kule Banana Republic ni wabaya sana ??
Kwakuwa mi ni binamu naruhusiwa kuona visivyoonekana kwa wengine, ntakusimulia weekend hii!
hizi zote mbili nimeweka like tu.....Ukishafanya uamuzi basi uje nikupe mlinzi ....
Ila bange nyingine zimepitiliza kabisa .....yaani mtu anatamka kabisa kuwa anatamani kuachana na utamu wakati hajavimbiwa?
He he he, kama wwe ndie mlinzi basi itakuwa ngumu sana
Maana naweza kuvunja nadhiri ili tu nivunje nadhiri yako kwa bibi
So wote wawili tutajikuta tumevunja nadhiri zetu
Kujamiiana ni ku socialize, ni vyema tutumie lile nneno lililokuwa linaweza kukuletea fimbo za haraka enzi zile za ujima.Hapo kwenye bold labda ni vyema kutumia neni "tendo la kujamiiana"
Itapendeza zaidi maana tendo la ndoa lnahusisha wanandoa tu na nje ya hapo ni kujamiiana.
Otherwise nakubaliana na tafsiri yako mkuu.....
mwenye kujua duka linalouza miwani nzuri tafadhali....Mtambuzi unapata shida bure manaeno kama haya niulize mm ni kutomba ni tendo la kutia uume kumani full stop.