Celibacy . . .

Bora we mzee umechekami hapa tumbo linaniuma nahisi konnie wamemloga yailahi!
jamani nichangieni nauli nikatafute mganga wa kumuagua konnie!
zis s more thn siriaz!please! ni safari ya hapo msambiazi tu!

hahhahahaha snowhite wewe....
 
Last edited by a moderator:
Kongosho kwisha habari yake....

aahhahahhahahhhhhahahhahahha bora umekuja BT labda tunaweza kuelewana!mi Kongosho simwelewi lately!simwelewi kabisaaa!yani tumbo linaniumaje mwenzio!hebu pitisha bakuli la msaada bana !konnie ndo basi tena!
BTW watu8 mi niliposema last time ulinibishia!sasa unamwona konnie wako anapoelekea!nilisema mimi lakini mkanishushuuuuuua!sasa nini tena kimebaki hapa!
 
Last edited by a moderator:


nilikuwa sitaki kukubali ukweli, ila sasa naona zombie ameshika hatamu, hata sijui tutamwokoaje huyu mtu? Au tumwendee kwa babu? Hii si dalili nzuri ati..........
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nilikuwa sitaki kukubali ukweli, ila sasa naona zombie ameshika hatamu, hata sijui tutamwokoaje huyu mtu? Au tumwendee kwa babu? Hii si dalili nzuri ati..........

yani zombie sasa ndo limemfanya Kongosho zombie mara 800!kweli konnie ni wa kuuliza haya makitu kuwa anataka kuacha kula sukari guru kisa inampalia?ahahhahahahhaha kuna mtu kawa cornered hapa,sio bure!
 
Last edited by a moderator:
yani zombie sasa ndo limemfanya Kongosho zombie mara 800!kweli konnie ni wa kuuliza haya makitu kuwa anataka kuacha kula sukari guru kisa inampalia?ahahhahahahhaha kuna mtu kawa cornered hapa,sio bure!


halafu kidogo kidogo tunampoteza.....chezea zombie weye.....
Inabidi kuunda mpango mkakati wa kumkomboa......tutaita 'operesheni okoa Kongosho'
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mimi sijaelewa hicho kiinglish.
Tafsiri tasavafali ili nichangie!
 

Hahahahha mtani nadhani Kongosho hakuna linalomtatiza zaidi ya kutaka tu kubadili aina ya mfumo wa maisha, hataki tena mautamu yawe ya Zombie au yoyote yule....
Konnie dear waweza kuwa vile wataka kuwa wala wasikusumbue hawa...
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kufanya hata kama ulishawahi kuwa sexualy active
As long as una nia, sababu na nguvu ya kujinyima kujamiiana na package yake yote kwa ujumla

Ila nachoona, lazima uwe umeunganisha nia hiyo na 'high values' zako ili uoate nguvu zaidi
Yaani reward ya kujinyima huko uione ni kubwa kuliko raha inayopatikana kwa kujaamiiana

Kutokuoa ama kutoolewa peke yake haimaanishi mtu ni mseja
Mtu anakuwa mseja, pale anapodhamiria ama kuweka nadhiri ya kuacha kujamiiana kwa ajili ya kusudi fulani na kuweza kufanikiwa kuacha kujamiiana kwa upana wake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…