Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Duh! Pesa si mchezo. Ukipata tumia ukikosa jutia. Hapo unaweza kuta hata baadhi ya nduguze huko kwao mlo mmoja kwa siku ni shida.
Duh! Pesa si mchezo. Ukipata tumia ukikosa jutia. Hapo unaweza kuta hata baadhi ya nduguze huko kwao mlo mmoja kwa siku ni shida.
Sawa na ni kweli ila Chelsea ndiyo iliyompatia jina na ukwasi zaidi ya aliokuwa nao..
Anaipenda Chelsea,na Chelsea kama taasisi pia ilimpenda,achilia mbali mashabiki. Nadhani anawatia sumu ya kuipenda na kuichezea kwa moyo klabu yao.
Mnaacha kuwajibisha serikali yenu mnataka kuwajibisha mtu binafsi alietoa jasho kusaka hela yake. Waafrika bwana. Wyclef Jean alienda kugombea urais kwao na wakamnyima. Drogba akienda kugombea urais kwao watamuona mhuni aliekaa ulaya. Afu hela yake akawape mafisadi wa kwao wajengee nyumba maskini. Kha!
Bonge la point!Acheni attitude, hata Yesu alipowekewa marashi wapambe walisema hela ingewalisha maskini. Na Yesu akawajibu maskini mnao siku zote. Wenyewe mnaendesha ma-benz na maprado mjini hapa na baba zenu wanakaa nyumba za tope hazina umeme. Na binamu zenu hawajaenda shule kisa ada. Muacheni atumie hela zake apendavyo.
Hivi diaspora wabongo wakiamua kuchangana wakaleta hata millioni 100 zijengwe shule ya walemavu unajua wizi gani utakaotokea? Not even 20% of the money will be put into correct use. Muacheni ajitengenezee marafiki wa badae, siku akifulia walau atazengea ofa za bia banaa, kwani ni nini? ??
Acheni attitude, hata Yesu alipowekewa marashi wapambe walisema hela ingewalisha maskini. Na Yesu akawajibu maskini mnao siku zote. Wenyewe mnaendesha ma-benz na maprado mjini hapa na baba zenu wanakaa nyumba za tope hazina umeme. Na binamu zenu hawajaenda shule kisa ada. Muacheni atumie hela zake apendavyo.