Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

Ni Mzuri ila sio kupita wote.
KAZEZE KAZEZE
Nasikia hapa Mondi kapita,assist aliwekewa na dada yake queen.
Kuna kipindi mondi alikua anafukuzia huyu mtoto,sijui aliishia wapi!
alimpata, akamla akamtema
alipita humo,kwa mujibu wa shigongo
Hata Soudybrown alikuwa wa kwanza kuripoti,Shigongo mwenyewe source yake ilikuwa U heard ya Soudy.
 
"Beauty lies in the eyes of beholder''

Kwangu mimi ninamuona wa kawaida sana labda kwenye hizo scandal ila haifikii hata uzuri wa kicheche gigi pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…