Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

Kibosho1,


Nadhan best way ungeandika wasanii na wachezaji uombe watoe.kutaja majina sio poa


Kila mtu anapaswa kutoa, hata wewe
 
Si kila anayetoa mpaka ajitangaze kwa mabango,vipeperushi na media!
Baadhi ya imani zinakataza kabisa hiyo kitu.
Hao uliowataja unauhakika gani wa kutokutoa?
 
Mbona tunawaonea Viumbe hawa?

Hivi Zaidi ya umaarufu wana uwekezaji gani wa maana unaowapatia fedha? Jana tuliwananga kwa kula hela za misiba, Leo tunataka wachangie, watatoa wapi?
 
Shule zimefungwa kwa sababu ya janga hili la Korona.!!! Kwa hiyo baadhi ya Hawa wanafunzi kama mtoa mada wanashindwa kutafautisha Mambo muhimu ya jamii.
 
Wenyewe wazee wa slope a.k.a kitonga hapo walipo wanasubiria kuambiwa kuna pesa zimetengwa kwa ajili ya kampeni ya Corona utawaona wanavyotoana damu na kutafutana mchawi.
 
Back
Top Bottom