Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

Uyu mzee atakumbukwa kwa mengi kama jina lake alikuwa mtu wa mfano na kuigwa kwnye upande wa kujitoa yeye kama kioo cha jamii alikua mstari wa mbele kabisa. Mungu ailaze roho yake mahala pema daima
Mheshimiwa Makonda mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na mkuu wa wakuu wa mikoa yote alikuwa sahihi aliposema hakuna mchagga mwenye moyo wa kujitoa kama mzee Mengi.
 
Back
Top Bottom