mkuu mwaka jana nakumbuka tulikutana nao kwenye kombe hilihili na wakatufunga kwa goli la Abdi kassimu "Bab" kama sikosei...ila sikumbuki itafaki ilifuatwaje kwenye wimbo wa taifa.!
Lishe muhimu tizaama wametuzidi na Ubavu wenzetu wanakula Matoke Ndizi zile na Mchuzi wa Karanga za kusagwa sie Ugali tu wenye Amira kuleni Ugali wa Muhogo.