Sio kweli! ni hapo hapo ndipo tuliwaliza mwaka 1965 na tukabeba kombe,lakini unadhani wangesema nini mkuu,hayo ni maneno hata kwenye kangha ya mama yangu niliyaona juzi.
Afadhali watushangilie na sie! Hiyo ni nzuri kwa upande wetu! Lakini wakenya wanapiga mahesababu, wanajua sisi ni rahizi kwao kuliko uganda wakiingia fainali nao!
Sio kweli! ni hapo hapo ndipo tuliwaliza mwaka 1965 na tukabeba kombe,lakini unadhani wangesema nini mkuu,hayo ni maneno hata kwenye kangha ya mama yangu niliyaona juzi.
Uganda wanaanzisha fujo......Ni Hassan Waswa na Oloya......Wanamsukuma Amri Kiemba baada ya Oloya kufanyiwa fou na Yondani.....Refa anawaangalia tu....
Mphamvu huyu dogo asije kuwa kapatwa na mathaibu makubwa zaidi kuliko tunavodhani........mwenye taarifa atujuze.........Balantanda unakimbilia uwanjani tu, tujuze kuhusu mdau, hakukuaga?