CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Uzuni imetanda katika vitongoji vya Zanzibar. Wazanzibar tusubiri mechi ya mshindi wa tatu. Pole sana Wazanzibar.
 
wakuu asiwepo wa kuondoka hadi dakika ya mwisho!!tuwaoe support Tanganyia!!
 
Namna gani, madogo wa bara wamechangamka......nimehakikishiwa hawako ''mjani'' tushuudie soka maridadi
 
Bingwa anaamuliwa kwenye hii mechi, viva Tanzania.. Kwa pamoja tuelekeze maombi huko jamani.
 
Stars...

Kaseja, Nyoni, Maftah, Kapombe, Yondani, Sure Boy, Kiemba, Domayo, Bocco, Kazimoto, Ngassa
 
Znz kwisney naombea Taifa langu Tanganyika hao znz ni nchi ya kigeni afadhali wametoka
 
Niwashukuru sana hawa hapa chini kwa Presentation zao nzuri humu ndani ya jamvi.sasa naomba tujielekeze kwenye mpambano huu ambao umeanza katika dakika ya kwanza ambapo sisi TZ ndio tumeuanza mpira kwa kuukanyaga.

By idawa
By WABHEJASANA
By Makoye Matale
By chitambikwa
 
Mpira umeanza

Tanzania 0-0 Uganda

Huyu Refa huwa(ga) kimeo sana
 
Safi sana Kapombe......Kapombe anakua sahani moja na Robert Ssentongo
 

Mzee msukuma naona ume-quote wasukuma wenzio tu......haya bana
 
Hassan Waswa anamchezea rafu Kazimoto....

Free kick......Maftah anapiga.....Goal kick
 

pamoja sana mkuu,dua zetu tuzielekeze huko Uganda dak.5 0-0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…