CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Kipindi cha pili inabidi hawa wazenj wakomae ili watutoe kimasomaso, kuna yeyote anaweza kuweka kikosi kilichoanza za Zanzibar Heroes?

1 mwidini
2 kanavaro
3 agrey moris
4 mcha
dah nitaendelea baadae kidogo
 
Jamani naomba msinicheke,Mphamvu yuko wapi?!,unajua huyu jamaa alikuwa Uganda sasa sijui kapotelea wapi kwa sababu tangu mechi za robo fainali hasemi chochote anayejua anijuze wakuu kwa sababu hata sasa tunatumia Therad aliyoianzisha tangu mechi ya kwanza.
 
Zanzibar kiungo kimekufa kabisa, bora waanze kucheza mipira mirefu.
 

Samahani Mkuu sikuweza ku-analyse, nilipeleka mtoto tuitiö wakati wa half time. Zanzibar wako vizuri. Mabeki waongeze umakini. Dak. 61 bado 1-1.
 
Samahani Mkuu sikuweza ku-analyse, nilipeleka mtoto tuitiö wakati wa half time. Zanzibar wako vizuri. Mabeki waongeze umakini. Dak. 61 bado 1-1.

Sio mbaya mkuu elimu kwanza kwa mtoto kisha mambo m,engine kama hy ya humu yanafuatia.pamoja sana.
 
If God say YES!no body can say NO!,& If God say NO! no body can say YES!
 
Hivi huu mtanange hadi dk 90 zikimalizika kwa SARE, ni matuta au kuna zile dakika za kuchoshana?
 
Dk 70
[TABLE="class: league-table, width: 464"]
[TR="class: even"]
[TD="class: fh, bgcolor: #DFDFDF, align: right"]Zanzibar[/TD]
[TD="class: fs, bgcolor: #DFDFDF, align: center"]1 - 1[/TD]
[TD="class: fa, bgcolor: #DFDFDF"]Kenya[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
mpaka sasa 66' Played ONE ONE

Mkuu Chitambikwa nimewahi kufanya kazi hapo Karagwe Hapo walipojenga makao makuu ya wilaya kwa sasa,kuna radi sana hebu niambie kwa sasa hali ikoje na hasa wakati huu wa mvua?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…