WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
dakika ya 3
[TABLE="class: league-table"]
[TR="class: even"]
[TD="class: fh"]Zanzibar
[/TD]
[TD="class: fs"] 0 - 0
[/TD]
[TD="class: fa"] Kenya
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Dak. 6 bado 0-0
Dak. 12 bado 0-0.
http://www.livescore.af/soccer/africa/ Hapa pia nakodolea Macho
znz v/s kenya mechi naendelea uwanja umejaa maji
Makoye matale mkuu wangu tafadhali sana,leo nimechelewa kutoka huku kwenye mashimo yangu ninayochimba dhahabu,niko njiani kwenye gari nawahi mechi ya Bara na Uganda mpaka nije nifike mjini mechi hii baina ya zenji na Kenya itakuwa imekwisha,kwa hiyo ndugu yangu nakuomba sana jitahidi ku-update kila wakati tafadhali sana mkuu!!!!!!!!
Mkuu ukishafika hapo mbona matokeo ya hiyo mechi hayaonekani?!
http://www.livescore.af/soccer/africa/ Hapa pia nakodolea Macho
Zanzibar 1-0 Kenya by Mcha Khamisi dak. 20.
"Unavimbwanga" wewe nimeenda mbiyo nami kuangalia kumbe hakuna kitu!http://www.livescore.af/soccer/africa/ Hapa pia nakodolea Macho
[TABLE="class: league-table"]
[TR]
[TH="colspan: 4"]December 6
[/TH]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: fd"]13:00 19'
[/TD]
[TD="class: fh"] Zanzibar
[/TD]
[TD="class: fs"] 0 - 0
[/TD]
[TD="class: fa"] Kenya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: fd"] 16:00
[/TD]
[TD="class: fh"] Tanzania
[/TD]
[TD="class: fs"] ? - ?
[/TD]
[TD="class: fa"] Uganda
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mbona yapo mkuu ,yanaoneka vizuri tu. Sijui unatumia kifaa gani
Safi sana dogo Mcha.Zanzibar 1-0 Kenya by Mcha Khamisi dak. 20.