Mkuu Pukudu asante kwa kunishtua niliteleza kidogo kwenye uandishi mpangilio sahihi uko hapo chini kwani hata wako una walakini kidogo(vice versa is true).
Semi-finals 6/12/12:
SF1 - Winner of Match 1 v Winner of Match 2 (1300);
SF2 - Winner of Match 3 v Winner of Match 4 (1600)
Quarter-finals 3/12/13:
Match 1 - Rwanda v Tanzania (1300); Match 2 - Uganda v Ethiopia (1600)
4/12/12:
Match 3 - Burundi v Zanzibar;
Match 4 - Kenya v Malawi (1300)
Mkuu hebu angalia vizuri hapo kwenye nyekundu naona kuna mshikeli kidogo maana hiyo mechi ilishachezwa tayari leo.
2 Desemba 2012, leo ni mapumziko.
Naona watu inbox wanaulizia ratiba...
Ratiba ya Robo fainali
3/12/2012
Tanganyika vs Rwanda
Burundi vs Zanzibar
Results
Rwanda 0 - 2 Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars)
Burundi 5 - 6 Zanzibar (on Penalties)
4/12/2012
Kenya vs Malawi
Uganda vs Ethiopia
Results to follow
Semi Finals
....
mi naona hapa sasa ndio sehemu nzuri ya kuchukulia wachezaji wa timu ya taifa stars katika hili maana utajua nani mkali na nani anazingua..
sio mwenyewe, yule shem ni Mnyarwanda...Jina Ndikumana maana yake nipo kwa Mungu(mimi ni wa Mungu)
2 Desemba 2012, leo ni mapumziko.
Naona watu inbox wanaulizia ratiba...
Ratiba ya Robo fainali
3/12/2012
Tanganyika vs Rwanda
Burundi vs Zanzibar
Results
Rwanda 0 - 2 Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars)
Burundi 5 - 6 Zanzibar (on Penalties)
4/12/2012
Kenya vs Malawi
Uganda vs Ethiopia
Results to follow
Semi Finals
....
Vipi Waganda na Ethiopia mechi inaendelaje huko wakuu?
Uganda anaongoza bao 1 - 0, kipindi cha pili ndio kinakaribia kuanza....goli limefungwa na Geoffrey Kizito