CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Mkuu angalia ukamataji wako usije ukadhoofisha sperm duct.
Masuke,hiyo nitaifanyia rehabilitation baada ya mpira!!halafu si unajua kuna physiotherapy center nyingi tu dar!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli Refa amechemka vibaya sana.....Haruna Niyonzima alipaswa kulambwa Straight Red card............
 
So far tunaongoza jahazi,ngoja tuone itakuwaje second half.
 
Kwa kweli Refa amechemka vibaya sana.....Haruna Niyonzima alipaswa kulambwa Straight Red card............

Kweli mkuu amefanya malipizi on the spot,na mkono akainua kabisa akim-strike Ngassa...alistahili straight red card.
 
Kwa kweli Refa amechemka vibaya sana.....Haruna Niyonzima alipaswa kulambwa Straight Red card............

kweli wewe ni mpenda soka na sio shabiki maandazi safi sana dk ya ngapi sasa..
 
Ngasa sasa anaanza kutafuta matatizo,hayo mambo ya kuanza kuwashika wenake makalio refa akimuona imekula kwake!!!kipindi cha pili kimeanza dakika ya 52.
 
saidia beki kaka waminyie pum.b!huwa inasaidia wasifungwe!!hasa kwenye mipira ya kona!!

mimi nimepishanisha vidole, halafu nimemeza kajiwe kadogo...hakuna kufungwa
 
Ha..ha..ha J.B Adebayor anatuinua tena pale...Kilimanjaro Stars 2-0 Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…