CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

ngoja niwe na imani tu mkuu...halafu bahati mbaya leo nipo kibaruani na mkoloni kakaba nilipenda kweli kushuhudia huu mtanange
 
Huyo winga wao wa kulia ni mbaya sana ni lazima Maftah awe makini vinginevyo atatuletea madhara makubwa,ameshapita mara tatu tena mbaya!
 
We kaa humu humu ndani utapata kila kitu mkuu wale usitie shaka mie leo nimetoka mapema ndani ya mashimo yetu humo kwenye machimbo Nyarugusu nimeamua kuingia Centre kwa ajili ya kuungalia,nitakujulisha kila kitu najua kuna wengine pia.
 
beki ya Starz imetulia kwa kweli.

Ni kweli lakini ule upande wa Maftah hapako salama sana kwa sababu kuna winga hatari kule anamabka mawili meupe pembezoni mwa macho yake!!!!
 
Huyo winga wao wa kulia ni mbaya sana ni lazima Maftah awe makini vinginevyo atatuletea madhara makubwa,ameshapita mara tatu tena mbaya!

Kulia nadhani huwa anachezeshwa Niyonzima jezi namba 8...au leo wamepanga tofauti
 
We kaa humu humu ndani utapata kila kitu mkuu wale usitie shaka mie leo nimetoka mapema ndani ya mashimo yetu humo kwenye machimbo Nyarugusu nimeamua kuingia Centre kwa ajili ya kuungalia,nitakujulisha kila kitu najua kuna wengine pia.

Poa poa pamoja...
 
Mkuu Makoye Matale leo naona umeanza mapema kabisa safi sana Mwanawane,mzima lakini???

Mambo safi kabisa, kulikuwa na kawingu kalikuwa kanatishia uwepo wa matangazo haya hapa nilipo, bahati nzuri kamesambaa.

Dakika 25 bado 0-0.
 
Kulia nadhani huwa anachezeshwa Niyonzima jezi namba 8...au leo wamepanga tofauti

Hapana leo Niyonzima anatokea kushoto lakini anakuwa nyuma ya mtu mwingine,lakini hata hivyo hajaleta madhara kwa sababu huku kulia kuna janaume moja linaitwa Kapombe!!!!
 
Mambo safi kabisa, kulikuwa na kawingu kalikuwa kanatishia uwepo wa matangazo haya hapa nilipo, bahati nzuri kamesambaa.

Dakika 25 bado 0-0.

Sawa mkuu tuko pamoja upepo wa matangazo unamaanisha unasikilizia kwenye redio au?!
 
Ni kweli lakini ule upande wa Maftah hapako salama sana kwa sababu kuna winga hatari kule anamabka mawili meupe pembezoni mwa macho yake!!!!

kweli kbs Mkuu, jamaa anatembea sana upande wa Maftaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…