Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,103
- 1,910
Rwanda wazuri kuliko sisi.Labda itokee zali tu.
Sio robo?
Ratiba ya Robo fainali
3/12/2012
Tanganyika vs Rwanda
Burundi vs Zanzibar
4/12/2012
Kenya vs Malawi
Uganda vs Ethiopia
this time ni nusu fainali..
subiri utaona kitakacho wakuta kina micho..
Me naiamin kil stars itashinda leo.
Ratiba ya Robo fainali
3/12/2012
Tanganyika vs Rwanda
Burundi vs Zanzibar
4/12/2012
Kenya vs Malawi
Uganda vs Ethiopia
Mechi za leo ni Lugogo stadium. Mechi 1 ni saa 8 kamili mchana huu, 2pm au 1400hrs EAT. Mechi 2 ni saa 10 kamili, 4pm au 1600hrs EAT.
Kesho ni Namboole saa 1600 na 1900hrs mtawalia.
Source: CECAFA Website, 2012.
ukiacha ile mechi na Burundi, Kili Stars leo hii ni mechi yao ngumu sana...Kwanza huwa hatuna historia ya kuifunga au kuionea Rwanda, pili Rwanda wanacheza kwa kuelewana mno, tatu Formation tunayotumia inatoa mwanya kwa timu pinzani kukaa na mpira muda mrefu na ndio kitu Micho hupenda
tanganyika leo ushindi lazima.
Huyu refa kutoka Sudan mbona naanza kumuona kama mbaya wetu,hebu angali hizo faulu anazotoa kwenye maeneo ya hatari.