CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Kwahiyo Kili Stars watakutana na Rwanda?quarter final
 
naomba mkao wa robo fainali jamani
 
Jamani nani ana matokeo ya serengeti boys na congo??
 
malawi 2 - 0 zanzibar ila kaingia robo fainali kwa tiketi ya asiyefanya vibaya yaani best looser..
 
aiss!unataka kusema kuwa tuna timu nzuri au tulikutana na timu mbovu!

Hahaha mkuu naona bado huamini, Kili hachezi mpira mzuri hata kidogo...na narudia tena kukutabiria Robo fainali tunayaaga haya mashindano amini usiamini.
 
Hahaha mkuu naona bado huamini, Kili hachezi mpira mzuri hata kidogo...na narudia tena kukutabiria Robo fainali tunayaaga haya mashindano amini usiamini.
nakemea kwa jina la Yesu na kunena kwa lugha!!!!tutasonga kiongozi wangu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…