Majuzi Yondani alikuwa kucheza ndondo Kimara, uwanja umeinama halafu una kisiki cha mwembe katikati. Na alicheza vizuri tu, itakuwa hapo Namboole?
Kumbuka Rwanda hakuna bahari, wenzetu Zanzibar wamezoea kuogelea, lol.Tope liko upande mmoja sheikh?
Nyie si matoz, maana kama ni toz utakuwa unawaza kuchafuka na tope. Hongereni.Zanzibar tumeweza kulitumia vizuri tope, hatuogopi kuchafuka...
vp haujamaliza? na hadi sasa kuna update gani ?
huu sio uwanja,ni vigumu kupima viwango vya wachezaji na hili tope.!
Ina maana Uganda hawakujiandaa hadi kuchezea kwenye tope hivi kama ng'ombe.?dk 53 zanziba 1 Rwanda 0, uwanja umetibua radha ya mpira nikama upuuzi flani hivi.