WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
mkuu tupo pamoja, naona Ngasa anapiga mpira mzuri hapa na kipa anacheza vizuri.!
Chupuchupu Mwinyi Kazimoto atuinue hapa... Mpira unapita nje kidogo ya goli.
Penalty wanapata Burundi hapa...
Anafunga pale Ndikumana a.k.a Baba Irene Uwoya....
Wao moja sisi bila!
Msukule tena?
mkuu na wenyewe nao wanamuomba mungu huyu huyu wa kwetu!!!Tumeamuka tumwombe Mungu,naamini yupo upande wetu.!
mkuu jamaa wana ukuta mgumu kiasi hicho!!inakuwaje wajaribu mashuti ya mbali!!!Ngassa anajaribu tena kutoka mbali...
Anafunga pale Ndikumana a.k.a Baba Irene Uwoya....
Wao moja sisi bila!
Angalia hiyo penati wala hawafungi,lazima wakose,hapa ndipo utatambua kwamba mimi ni mtu wa Bariadi,lazima nitume msukule wangu umsaidie Kaseja.
mkuu jamaa wana ukuta mgumu kiasi hicho!!inakuwaje wajaribu mashuti ya mbali!!!
Karefa nako kama kanatuuma, hivi ni ka nchi gani?