figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,709
- 59,229
Hahahaah!! Usihofu watakuokoa..inabidi beki wanisaidie kuokoa jahazi!!
Baadae utamkubali. mialeo ndo mtaamin maneno yangu ya kwamba msuva ni mshambuliaji asie na hatari. msuva akishika mpira utasema hili ni goli lakini mpira wa mwisho utatoka nje au utapaa juu sana ya goli. magoli yake siyajui wala sijawahi ona goli lake. ana makeke akishika mpira lakini hana malengo. mimi hua simkubali. mia
Uso wa uso ndio.
Lakini angalia hata ule upigaji wa mpira, sio kiprofeshenali kabisa.
Uyanga unakusumbua, halafu sipendi...
Uwanja unazingua sana eeeh! Tatizo nini kuna mvua...!
kwa wataalamu naomba mtusaidie, ni mazingira gani mpira unaweza ahirishwa kwa ubovu wa uwanja? hawawezi badili uwanja?
Uso wa uso ndio.
Lakini angalia hata ule upigaji wa mpira, sio kiprofeshenali kabisa.
Uyanga unakusumbua, halafu sipendi...
leo ndo mtaamin maneno yangu ya kwamba msuva ni mshambuliaji asie na hatari. msuva akishika mpira utasema hili ni goli lakini mpira wa mwisho utatoka nje au utapaa juu sana ya goli. magoli yake siyajui wala sijawahi ona goli lake. ana makeke akishika mpira lakini hana malengo. mimi hua simkubali. mia
Baadae utamkubali. mia
Ni hatari tupu sio siri mpaka ladha hakuna
Mahali ambapo ubovu wa uwanja utaathiri movement ya mpira. Yaani ukiburuza mpira, unapungua kasi kwa zaidi ya 30%, zaidi kujaa maji na upepo.
Mkuu kama uko uwanjani leo niko hapa uwanjani angalia huku walipo wageni waheshimiwa,ndipo nipo mkuu wangu.
Usimba unakusumbu halafu sipendi (Mphamvu, leo).