Mimi niko tu leo nasoma comment za watani.
sasa yeye unavyosema kuwa tunaacha kufanya shughuli za msingi na tunaangalia haya mashindano,una maana sisi ni wajinga au
Bora amejisahihisha,lkn hd anatungazia hiyo list anakuwa ameichukua kweli kutoka kwa wenye team au anapanga list kwa mujibu wa mtazamo wake kama Masuke anavyotupangiaga hapa?
Najuaga Mkuu team yako ikiwa inacheza hupendi hata kupepesa macho pembeni,concetration yako inakuwaga full kwenye mchezo..usikonde lkn Kocha wenu alishatanguliza utetezi
Hata li-avatar limekushinda kuliweka? Maana haya ni mashikolo mageni, punguza hasira Mkuu.
Mkuu beki wetu wa pembeni Amir amevunjika kidole, kwa hiyo huko anakocheza ni sawa kabisa.Naona leo mtaalamu Shomari Salum Kapombe yupo ndani ya uwanja......
I wish Kapombe angecheza pale kati na Juma Nyosso
Mechi ya leo inabidi tutoe draw, kufungwa ni fedheha halafu tukishinda tunakutana na Atletico robo fainali kitu ambacho sio kizuri bora tukutane nao nusu fainali.
Mechi ya leo inabidi tutoe draw, kufungwa ni fedheha halafu tukishinda tunakutana na Atletico robo fainali kitu ambacho sio kizuri bora tukutane nao nusu fainali.
ha ha ha ha ha sio kizur kivipi Mkuu?
Masuke hata tukikutana na Atletico ni sawa tu ili tuwachafue vizuri kwa kulipiza kipigo walichopata watani zetu Yanga
Kwa hiyo Azam na Mafunzo inabidi warudiane kupata wa kwanza na wa pili?