Ha ha haa! wewe ndiye li kilaza hasaa! Kuwapa pole Wakuu ni utamaduni wa Kitanzania na siyo kuwataka wasifuatilie mechi hizi, lengo la post hii ni kuwajuvya Wakuu jinsi li-luga la kidhungu linavyowatesa Weupe kwa Weusi.
Mod hawezi kukupa ban kwa kutoa mawazo yako halali uwe na amani huku ukirejea signature yangu hapa chini, yaani soma Hosea 4:6.