Halafu wakikutana na Yanga wanawakamia mpaka basi....
ndo dk ya 87,yakibaki hivi nani atapita?
Leo hii Ngassa ni wa kumpa dk 13?!!!!
Halafu hili Kocha lao (Azam) lina dharau ile kinoma,utafikiri lenyewe ndo Guordiola,juzi eti wakati wa mechi ya Yanga na Wau Salaam baada ya Yanga kuandika goli la 5 lilifumwa linatoka lilipoulizwa likasema haliwezi kuangalia mazoezi,eti Yanga walikuwa hawachezi mechi bali mazoezi.
Jana tena likakaliliwa likisema Shikokoti akacheze basketball aachane na soka as if team yake inacheza soka la Sayari nyingine kumbe ni hizihizi butubutu zetu za EA
Wakuu, poleni sana kwa kufuatilia michuano hii mkitoa muda wenu ambao pengine ungewaingizia mamilio ya fedha kupitia kazi mbalimbali.
Muda mfupi uliopita Kocha Mkuu wa Simba amehojiwa na S9 Reporter na mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:
S9 Reporter: Coach you 6 times champion, what can you tell us today?
Milovan: We normally play all games
S9 Reporter: Are you missing Ugandan International Emmanuel Okwi in your squad?
Milvoan: Yes of course, we are trying to play without him
S9 Reporter: What is your prediction today?
Milovan: Prediction!, I don't understand
S9 Reporter: I mean, what is the outcome of today's match?
Milvoan: My English is not good, I don't understand
S9 Reporter: Thank you coach, I wish you all the best
Milovan: Thanks.
Ha ha haaa! kumbe hili li-luga linawasumbuaga wengi, weupe kwa weusi!
Ni Raia wa wapi huyu Kiraza?
Wakuu, poleni sana kwa kufuatilia michuano hii mkitoa muda wenu ambao pengine ungewaingizia mamilioni ya fedha kupitia kazi mbalimbali.
Muda mfupi uliopita Kocha Mkuu wa Simba amehojiwa na S9 Reporter na mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:
S9 Reporter: Coach you are 6 times champion, what can you tell us today?
Milovan: We normally play all games
S9 Reporter: Are you missing Ugandan International Emmanuel Okwi in your squad?
Milovan: Yes of course, we are trying to play without him
S9 Reporter: What is your prediction today?
Milovan: Prediction!, I don't understand
S9 Reporter: I mean, what is the outcome of today's match?
Milvoan: My English is not good, I don't understand
S9 Reporter: Thank you coach, I wish you all the best
Milovan: Thanks.
Ha ha haaa! kumbe hili li-luga linawasumbuaga wengi, weupe kwa weusi!
Lugha za watu hizo kuwa mweupe siyo lazima ujue lugha zoteDuh sasa kama Milovan na Mtangazaji wa Super Sports lugha gongana,Milovan na Haruna Moshi Boban sijui itakuwaje?