CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Ndo narejea kutoka kule nilipokuwa nasherehekea,team inayotoa matokeo kama ya Yanga ni mbaya sana inaweza kukufanya umalize mshahara wote kabla hata ya tarehe 1
 
hATA SIMBA NITAWASHANGAA WAKIINGIZA TIMU BADALA YA KUIWEKA KAMBINI KWAAJILI YA LIGI KUU NA KLABU BINGWA BARANI AFRIKA..

Jinsi Viongozi wenu walivyo ma'bogus lazima wataingiza team tu
 
hongera zako ila tumewapeleka mbaya sema zali tu sio letu

Halaa Azam FC

Sababu hizi nilizitegemea sana,mimi nimewabatiza nyie ni wazee na kucheza na jukwaa,tena lile la Simba,pass za visigino nyiingi mmekula 2 - 0 kwa maneno "TWO - O"
 
nIMEPENDA KITU KIMOJA AZAM HAWA PANIC HATA KAMA WAMEFUNGWA WANACHEZA MPIRA WAO UKIONDOA UZEMBE MDOGO MDOGO KWELI LIGI KUU ITAKUWA YA USHINDANI MKUBWA...

Azam wa kawaida sana despite uwekezaji wote ule,hata kwenye ligi anaweza akachemsha vilevile waache kununua marefa tu
 
Salum Abdulbakar wa AZAM ni Mtoto wa Abdulbakar Salum (Sure-Boy) Mchezaji wa Zamani wa Yanga na Pia Kocha wa

Timu ya Vijana Wa Yanga... Kwanini Yanga wasimchukue huyu Salum Abdulbakar - Sure Boy? Ni HARARI Haswa

Dogo atakuja tu,Baba yake amemwambia ngoja achezecheze kule kwanza
 
Hivi huyu Mustapha ataacha huu ujinga wa kupoteza muda lini...ni mambo ya kizamani...

Kweli Nyani hani Kundule,leo hii unajifanya kusahau kama Kaseja ndo mtaalamu wa style ile ya kupoteza muda uwanjani,embu rejea mechi kati ya Simba na Shandy ya hapa Dar,Simba alipokuwa anaongoza
 

(Courtesy of Mluga with modification)

Haka ka Ms. Azam, FC siyo katamu kama Darling wangu, angekuwa yule ningepiga zaidi ya bao sita. Sijafahamu Darling wangu kapotelea wapi, KIHEREHERE cha haka kabinti kimekiponza.

Naamini muda si mrefu Darling wangu atapatikana tu.
 
Simba 5 Yanga 0. Chifu siku mtakaposawazisha hayo matokeo, ndiyo unaweza kuzungumza hayo mbele ya TAIFA KUBWA
 
Mkuu Nzi,

Usitamani kabisa Mnyama kukutana na Yanga; mambo yatakuwa hivi:


(Courtesy of Mluga)

Tulishaandaa mauaji makubwa, bahati yenu mlishitukia.
 
mods haya mashindano yameisha siku nyingi sana, hii thread ina haja gani kuendelea kuwa "Sticky' hapa? hebi ibandueni iendelee kupotelea huko chini

haina tena relevance iliyokuwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…