mtani mpira huwa nimakosa ya upande mmoja na kusababisha upande mwingine upate nafasi ya kufunga goli.kuchukua kombe hili siyo kweli kuwa yanga ndo mtemi east africa, natambua timu za Sudan na Ethiopia hazikuwepo so msijivune sana
Kocha Tom Saintfeit amesema Yanga haitashiriki mashindano hayo ya kuwatengenezea fedha TFF na washirika wao mashindano amabayo yanaumiza tu wachezaji......
Amesema yeye anataka kuandaa na kutengeneza timu ya ushindi....