Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Imeshaanza ni dakika ya 58 sasaAsante kwa hii thread, mechi ya kwanza nadhani itakuwa tayari imeanza...
Mechi ya kwanza kati ya APR na WAU SALAAM ipo Live Super Sport....
Ni dakika ya 57 sasa na APR wanawaadhibu vilivyo vijana wa South Sudan....
Mpaka sasa matokeo ni APR 6-0 WAU Salaam
Mechi ya pili itaoneshwa na TBC 1&2
Yanga kikosi Imara mno, kitamchapa simba kwenye Fainal
wadau tuendelee kuhabarishana..natamani siku ziende fasta nirudi bongo kabla hili kombe halijaisha..pamoja sana Balantanda Katavi na wadau wengine
Dakika ya 60 sasa
APR 6-0 WAU Salaam
Haya ndo matatizo yetu mashabiki yaani michezo ndo inaanza leo wewe unaanza kusema Yanga itamchapa Simba fainali je zikitolewa zote mapema zikafika fainali timu zingine si ndo utaanza kulalama zimefanyiwa hujuma.Yanga kikosi Imara mno, kitamchapa simba kwenye Fainal
wadau tuendelee kuhabarishana..natamani siku ziende fasta nirudi bongo kabla hili kombe halijaisha..pamoja sana Balantanda Katavi na wadau wengine