CECAFA cup na utoaji zawaji....

Hardman

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
672
395
awali ya yote nitoe pongezi kwa kukamilisha mashindano hayo kwa mwaka huu...upande wa wangu niliona utoaji wa zawadi kwa washiriki mbalimbali ulikuwa mbovu...kwa maana ya kuwa tuliona pale kuwa watu walikuwa wanapewa pesa cash zikiwa kwenye bahasha...hii ilianzia wachezaji hadi timu zilizoshinda....hee huu ni uswahili sana...unatembeaje na dola elfu 20 cash!!!!!
mtazamo wangu;
pale uwanjani wangepewa check ya mfano baadae washindi wakaenda kuchukua pesa bank hiyo ndo njia salama zaidi...tofauti na vile walivyofanya.....
ni mtazamo tu
 
Back
Top Bottom