MALKIA WA DUNIA
Member
- Oct 18, 2012
- 9
- 0
Jamani tunapojaribu kuandika kitu humu tuwe tunaandika jambo ambalo unakuwa nalo uhakikika! Waziri mkuu hayuko UK kwa shughuli za kisiasa na wala hajafanya mkutano wa kisiasa! Hata kama tunaipinga CCM tusuzushe jambo ambalo halipo! Kama huna cha kupost humu kapost mada zindine sio lazima siasa! Siasa inahitaji ukweli sio kuandika tu bora umeandika.
Waziri mkuu Pinda amefanya ziara isiyokuwa na miguu wala kichwa nchini Uingereza. Akiwa huko alipata habari za uwepo wa mkutano wa wanachadema uliongozwa na Wenje amabye ni mkurugenzi wa mambo ya nje wa CDM na Munishi ambaye ni katibu Mkuu wa BAVICHA.
Habari zilizovuja zinasema Pinda aliamua kumshinikiza Balozi wa Tanzania Uingereza kuitisha mkutano wa wana CCM kwa mgongo wa jina "WATANZANIA" siku ya Jumanne ya terehe 16/10/2012 ubalozini baada ya kusikia CHADEMA wamekutana ijumaa iliyopita na kuazimia kuisambaratisha CCM Uingereza.
Katika mkutano huu walijitokeza watu wasiozidi 15 na taarifa za ndani zinadai Pinda ametamka ndani ya kikao hicho kuwa CHADEMA ni "KIBOKO" kwani siku za nyuma walizoea kupata mapokezi makubwa yenye mbwembwe kama viongozi wa serikali lakini baada ya CDM kujikita nje kwa siku za hivi karibuni , hali hiyo imetoweka na kuwaduaza viongozi wa serikali.
Ikumbukwe wiki tatu zilizopita, makamu wa rais Gharibu Bilal alifanya ziara kama hiyo nchini Uingereza na kuambulia patupu.
Viongozi wa CDM walifanya mkutano wao tarehe 12/10/2012 jijini London na kukusanya idadi kubwa ya watu kutoka miji ya Reeding, Birmingham na London na baadhi ya watanzania waishio huko walijiunga na CDM.
Source: Mtanzania aliyekuwapo mkutanoni kwenye ubalozi wa Tanzania London.
Scolari... wakati mwingine acha longolongo ... nikiwa mmoja wa waliohudhuria mkutano huo naweza kusema kwa uwazi kwamba neno Chadema lilitamkwa mara moja tu na kwa utani...Pinda pia aliisema chadema kwa fumbo moja la wapenda maandamano... wakati wote wa mkutano...watu walikuwa zaidi ya 15.. kwa idadi yangu kama zaidi ya 50 hivi...
Pinda aliongelea zaidi mambo ya maendeleo ya Tanzania na tukampa ushauri kwamba hao wawekezaji wanaokuja huko nyumbani wakubalishwe ki mkataba kuwafundisha ujuzi wa kazi watanzania wanaofanya kazi katika makampuni yao... iwe katika gas, madini au utalii... yaani compusory Knowledge transfer...
mambo mengine yaliyozungumziwa ni kuhusu suala la amani kwa ujumla wake.... mambo ya ufisadi na azimio la Arusha.. Rapid transport system , ajali katika barabara zetu za Tanzania na ubora wa vyombo vya usafirishaji hasa mabasi yetu tunavyoyaona kama chinja chinja..., mambo ya muungano wa mkataba.. mambo ya sensa kwa sisi wa ughaibuni... suala la kumaliza uchakachuaji kwenye chaguzi zetu kwa kuwa na automatic vote counter... na mengine mengi...
:focus:Chadema bana badala ya kujenga chama vijijini mnakimbilia London.

sikuona hata moja ambapo pinda alihenyeshwa...niweke wazi kwamba nina mlango wa kupenda mawazo mbadala ya Chadema na katika hili Pinda apewe haki yake...Vinginevyo chadema itaanza kupunguza watu kama sisi tunaopenda mawazo yao ...
Nilitaka kumuuliza pinda ni kwa nini kasi ya maendeleo ya Tanzania haiendani na muda wa ccm madarakani au ni kwa nini kama ccm wameshidwa wasingatuke kama baba wa taifa .. lakini sikupewa nafasi hata baada ya kunyoosha mkono kwa muda mrefu... ni matumaini yangu wakati mwingine tutapewa nafasi kama hiyo....
Mkuu idadi hiyo unatoa ujumbe alioambataba nao pamoja na maafisa wa ubalozi au ni wote kwa pamoja? Vyovyote itakavyokuwa unataka kusema PM wa Tanzania kweli akiitisha mkutano wanakuja 50 wewe unaona hao ndio wengi au vipi. Kwanini kwanza kwenye vyama vyote hakutaja CDM. Mleta uzi amefuatilia idadi na akaweka wazi uchahce wa walioitika. Yeye alukwa interested na number of audience.Wewe ulikuwa interested na nini? kwanini ulihesabu watu kama your principle objective ilikuwa kumsikiliza PM. After all the guy is unpopular and disrespected deputy of dishonoured boss. How can you leave your house when it's burning. Sikia maaskofu wa KKKT wameamua kupostpone their meet ili waje waone kilichotokea na kutoa one of the briliant remarks. Uongozi ni hivyo sio ziara zisizokuwa na tija
Jamani tunapojaribu kuandika kitu humu tuwe tunaandika jambo ambalo unakuwa nalo uhakikika! Waziri mkuu hayuko UK kwa shughuli za kisiasa na wala hajafanya mkutano wa kisiasa! Hata kama tunaipinga CCM tusuzushe jambo ambalo halipo! Kama huna cha kupost humu kapost mada zindine sio lazima siasa! Siasa inahitaji ukweli sio kuandika tu bora umeandika.
Scolari... wakati mwingine acha longolongo ... nikiwa mmoja wa waliohudhuria mkutano huo naweza kusema kwa uwazi kwamba neno Chadema lilitamkwa mara moja tu na kwa utani...Pinda pia aliisema chadema kwa fumbo moja la wapenda maandamano... wakati wote wa mkutano...watu walikuwa zaidi ya 15.. kwa idadi yangu kama zaidi ya 50 hivi...
Pinda aliongelea zaidi mambo ya maendeleo ya Tanzania na tukampa ushauri kwamba hao wawekezaji wanaokuja huko nyumbani wakubalishwe ki mkataba kuwafundisha ujuzi wa kazi watanzania wanaofanya kazi katika makampuni yao... iwe katika gas, madini au utalii... yaani compusory Knowledge transfer...
mambo mengine yaliyozungumziwa ni kuhusu suala la amani kwa ujumla wake.... mambo ya ufisadi na azimio la Arusha.. Rapid transport system , ajali katika barabara zetu za Tanzania na ubora wa vyombo vya usafirishaji hasa mabasi yetu tunavyoyaona kama chinja chinja..., mambo ya muungano wa mkataba.. mambo ya sensa kwa sisi wa ughaibuni... suala la kumaliza uchakachuaji kwenye chaguzi zetu kwa kuwa na automatic vote counter... na mengine mengi...
sikuona hata moja ambapo pinda alihenyeshwa...niweke wazi kwamba nina mlango wa kupenda mawazo mbadala ya Chadema na katika hili Pinda apewe haki yake...Vinginevyo chadema itaanza kupunguza watu kama sisi tunaopenda mawazo yao ...
Nilitaka kumuuliza pinda ni kwa nini kasi ya maendeleo ya Tanzania haiendani na muda wa ccm madarakani au ni kwa nini kama ccm wameshidwa wasingatuke kama baba wa taifa .. lakini sikupewa nafasi hata baada ya kunyoosha mkono kwa muda mrefu... ni matumaini yangu wakati mwingine tutapewa nafasi kama hiyo....
Nyie wote mlikuwepo kwenye huo mkutano? Siasa bana.
Scolari... unataka kupata yaliyojili kwenye mkutano au unataka malumbano? sipendi kuongelea kunyimwa usingizi kwa pinda maana sina uhakika kama ni kweli alinyimwa usingizi... kama ni kweli aulizwe yeye maana sijaona au kusikia kwamba hakulala kabla ya mkutatao huo..isipokuwa toka kwako...sina sababu ya kuja hapa kidiplomasia au kuficha ukweli au kwamba ni pretender wa kuhusudu mawazo ya chadema au ccm au yako... maana nikiwa kama unavyotawa wewe ... na wewe pia utakuwa vivyo hivyo kama mimi kutaka kupata kilichojili mkutano kwa kusema kwamba alihenyweshwa...
kusemwa mtu kwa mafumbo ni tafsiri yangu ladba Great thinker watasema wapenda maandano ni cuf au uamsho au nccr... haina maana ni chadema...acha tabia ya upotoshaji.. ni kweli kwamba ccm wamekaa madarakani muda mrefu na wamechokwa na current generation lakini ni ukweli kwamba pia wana wapenzi wao kama chadema na wengineo...
Mimi ni independent na huwezi kunilazimisha niwe chadema au ccm au cuf au uamsho na wengineo ...kuna mazuri yao chadema, ccm na wengineo pia kuna mabaya yao... pia hata wewe ni unaonekana (kwa tafsiri yangu) kama ni ccm vile maana ni mpotoshaji wa kilichojili mkutanoni...
labda nikuulize...ulikuwepo mkutanoni? je unayapinga niliyoyasema hapo juu kwamba yalizungumziwa? au unataka/kupenda malumbano yasiyokuwa na taja ladba kwa wakosa kazi?
Najibu kwa nafsi yangu kwamba nilikuwepo... ndio maana nimeweza kusema kilichotokea ... je wewe ulikuwepo?
Scolari... wakati mwingine acha longolongo ... nikiwa mmoja wa waliohudhuria mkutano huo naweza kusema kwa uwazi kwamba neno Chadema lilitamkwa mara moja tu na kwa utani...Pinda pia aliisema chadema kwa fumbo moja la wapenda maandamano... wakati wote wa mkutano...watu walikuwa zaidi ya 15.. kwa idadi yangu kama zaidi ya 50 hivi...
Ukisoma hayo hapo juu ni maneno yako mwenyewe. Umesema kuwa Pinda ilitamka CHADEMA mara moja tu na pia ukasema aliisema kwa fumbo moja tu la wapenda maandamano. Sasa mbona unajikoroga mwenyewe kuwa hajaitaja na kusema wapendaa maandamano kunaweza kumaanisha chama chochote wakati ushaitaja CHADEMA mwenyewe?
Kwa nini basi hilo neno moja lisiwe CUF, NCCR, CHAUMA ama CHAUSTA? Acha kutuzuga!
Orait. kumbe unajibu kwa nafsi yako. Whether or not ningekuwepo nisingejibu subjectively kama wewe.
Mh. Pinda alikutana na Watanzania waishio Uingereza dhumuni likiwa ni kuzungumzia mustakabali wa maendeleo ya nchi kisiasa, kiuchumi, n.k.
It does not matter whether or not huo mkutano ulikuwa wa kisiasa. Kinacho-matter ni whether or not alizungumzia mambo ya kisiasa kwenye huo mkutano hata kama ulikuwa ni wa kidini.
Hizo zinaitwa Tantararira wafuasi wa Chadema Uingereza hawazidi 20 kina Chilisosi, Uingereza Watanzania wengi ni Wapemba nao wamejiripuwa.
Hivi siku hizi wapenda maandamano maana yake ni Chadema? hii ilikuwa tafsiri yangu...
au Mtu (pinda) akitaja Chadema kwenye mikutano ya watanzania kwa ujumla wake ni criminal au civil offence.. na nilazima awataje akina CUF, NCCR, CHAUMA ama CHAUSTA? Mzugaji ni wewe kwa ku-report vivyo- sivyo ! mimi nilihudhuria tu kama independent bystander.
Kiwanda At Work.
Yaani wewe ndo muongo wa kupindukia. Waziri mkuu yuko Londoni na kwa taarifa yako jana kwa macho yangu nimemuona akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC kuhusu swala la mpaka wa Tanzania na Malawi. Punguza kukurupuka ndugu. Wewe sasa ndo unapaswa kuwa mkweli.