Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,185
- 43,263
haha ha uingereza uijue wewe?? usiniache hoi! mm siwezi kuijua moshi sana maana huwa naenda tu kikazi au kwa matembezi! ila uingereza huwezi kunificha kitu, naifahamu maana nimesoma elimu yangu yote humo!!wewe kama waja na kuondoka sisi twaishi humu!
Kweli ng'ombe hawawezi kuisha hata wachinjwe vipi, kufika Uingereza unaona hatari ushamba mwingine mzigo haya bana sijfika Uingereza umefika wewe hongera sana.