CDM, nani alimuua Chacha Wangwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM, nani alimuua Chacha Wangwe?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by KAUMZA, Mar 30, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Alivuma sana na aliipandisha sana chati CDM. Nikiwa mtanzania nina haki ya kupata habari za uhakika kabisa. Na kwa kuwa Chacha Wangwe alikuwa mbunge wa watanzania wa Tarime kupitia CDM ninadhani Chama chake kinaweza kutupa jibu makini la nini hasa chanzo cha kifo cha Chacha Wangwe? Je, ni mkakati wa CDM ktk kumzuia asigombee u-chair wa CDM?
  Ufafanuzi plz
   
 2. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,282
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Una maana Chacha Wangwe aliuawa? Chadema wanahusika?
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ajali ya gari ilimuuwa Chacha Wangwe....period and case closed....CDM haiuwi wanachama wake. Coming back to your CCM.

  Ni nani aliwaua hawa?
  1. Horace Kolimba
  2. Edward Sokoine
  3. Dr Nicas Mahinda
  4. Abdallah Kassim Hanga
  5. Sheikh Othman Shariff
  6. Gibbons Mwaikambo
  7. Ipyana Malecela
  Niongeze list?
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Aliuwawa na Suzuki vitara kwakushirikiana na Zimwi Ajali ikiongozwa na Kijana mwenye itikadi ya CCM!!Zaidi unaweza kwenda Kikosi cha Usalama Barabarani kituo cha Kati pale Dodoma wakakupa habari za kiinterejensia kama wewe unaamini alikuwa anagombea uenyekiti!
   
 5. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaaani unaleta topic halafu mwenyewe unaona aibu du!
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Bila kusahau............Basi naishia hapo wengine wajaze!!!
   
 7. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  tafuta CV ambayo ni full detailed ya Kijana Deus Mallya, then utapata jibu!!! Nyendo za kijana Deus Mallya siku 3 (specifically zenye association na Chacha wangwe) kabla ya kulazimisha kumuendesha Chacha Wangwe then utapata jibu!!!

  Hamkomi tu!! Mnaazishaga matope kwa CDM yanayojiosha yenyewe then mnaingia mitini then mnayarudia tena!!!
   
 8. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  1.
  Today 09:54 AM
  Topic: CDM, nani alimuua Chacha Wangwe?
  by KAUMZA

  Replies
  4
  Views
  2

  CDM, nani alimuua Chacha Wangwe?

  Alivuma sana na aliipandisha sana chati CDM. Nikiwa mtanzania nina haki ya kupata habari za uhakika kabisa. Na kwa kuwa Chacha Wangwe alikuwa mbunge wa watanzania wa Tarime kupitia CDM ninadhani...

  2.
  Today 09:44 AM
  Topic: Dr.kitine yanaweza kumpata yaliompata kolimba?
  by KAUMZA

  Replies
  33
  Views
  882

  Re: Dr.kitine yanaweza kumpata yaliompata kolimba?

  Hata Marehemu CHACHA WANGWE wa TARIME alipotezwa kwa kuwa alitaka kugombea uenyekiti wa CDM Taifa

  3.
  Today 09:11 AM
  Topic: MZEE WA UPAKO AJIKOMBA KWA jk
  by KAUMZA

  Replies
  27
  Views
  411

  Re: MZEE WA UPAKO AJIKOMBA KWA jk

  Vipi kama angemsifia Dr Slaa? Mngemsakama na kumnanga? SHAME ON YOU

  4.
  Today 09:00 AM
  Topic: Babu Mwasapile aungana na Rostam
  by KAUMZA

  Replies
  6
  Views
  114

  Babu Mwasapile aungana na Rostam

  Hatimaye mch. mstaafu mzee Mwasapile ameungana na mbunge wa Igunga Bwana Rostam Aziz kwa kuwataka wagonjwa wanaopata tiba ya "kikombe" kuendeleana dawa za hospitali kama kawaida.

  Hili limejitokeza...

  5.
  27th March 2011 08:08 AM
  Topic: CCM kidedea umeya Sumbawanga
  by KAUMZA

  Replies
  7
  Views
  206

  CCM kidedea umeya Sumbawanga

  Kwa mara nyingine tena CCM kimetwaa kiti cha umeya ktk manispaa ya Sumbawanga baada ya meya wa awali kujiuzulu kutokana na "kashfa" ya kuwa na elimu ndogo.

  6.
  21st March 2011 07:45 PM
  Topic: Jukwa la sheria lisilo na wanasheria
  by KAUMZA

  Replies
  9
  Views
  127

  Re: Jukwa la sheria lisilo na wanasheria

  Ulichokisema ni kweli kabisa. Kimsingi kuna wanasheria wengi sana humu jukwaani. Wanasheria makini, Wanasheria vilaza na wanasheria pori"bush lawyers". Kwanini jukwaa hili limekosa msisimko ni kuwa...

  7.
  13th March 2011 08:09 PM
  Topic: JK mgeni rasmi tamasha la injili Dar
  by KAUMZA

  Replies
  21
  Views
  269

  JK mgeni rasmi tamasha la injili Dar

  Mratibu wa tamasha la nyimbo za injili bwana Alex Massama amesema kuwa Mpendwa wetu Rais Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la pasaka. Kwa taarifa zilizopo mhe JK amekubali mwaliko...

  8.
  11th March 2011 07:03 PM
  Topic: Upe tafsiri msemo huu katika medani za siasa za Tanzania
  by KAUMZA

  Replies
  3
  Views
  66

  Re: Upe tafsiri msemo huu katika medani za siasa za Tanzania

  Hata mkiandamana na kuchochea uasi, dola hamshiki ng'o!!

  9.
  11th March 2011 06:50 PM
  Topic: Lowassa ni kiona mbali
  by KAUMZA

  Replies
  33
  Views
  785

  Lowassa ni kiona mbali

  Ni kiongozi makini sana. Ana upeo mkubwa sana wa kufikiri na kutenda. Anathubutu na anawapenda watu wake. Majuzi akiwa katika kijiji cha Lolkisale Monduli Lowassa alisema yeye akiwa mbunge anakusudia...

  10.
  5th March 2011 09:54 PM
  Topic: Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)
  by KAUMZA

  Replies
  763
  Views
  9,518

  Sticky: Re: Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924/1968)

  Acha unafiki wewe. Lini uliwahi kupita jirani na msikiti ukashukiwa? Au unaugonjwa wa phobia? Our son to be saint(Nyerere) alikuwa kila mara akienda kwa sheikh Ramia Bagamoyo kuombewa dua....

  11.
  5th March 2011 07:36 PM
  Topic: kauli za ccm ndio zinaweza kuvunja amani nchini tanzania
  by KAUMZA

  Replies
  3
  Views
  98

  Re: kauli za ccm ndio zinaweza kuvunja amani nchini tanzania

  Kwa hiyo?

  12.
  5th March 2011 07:18 PM
  Topic: Wanawake wakatoliki Songea wawapinga"CDM"
  by KAUMZA

  Replies
  46
  Views
  879

  Wanawake wakatoliki Songea wawapinga"CDM"

  Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita...

  13.
  5th March 2011 06:34 PM
  Topic: Kamanda MBOWE Vs Dr SLAA
  by KAUMZA

  Replies
  64
  Views
  1,380

  Re: Kamanda DJ MBOWE Vs Dr SLAA

  Umesomea wapi wewe! Unaweza kuniruhusu nihoja IQ yako? Jamani kwani ni lazima ulinganishe official functions zao. You can compare even their behaviour, pia hata style yao ya maisha. Mfano, mmoja ni...

  14.
  5th March 2011 05:43 PM
  Topic: Kamanda MBOWE Vs Dr SLAA
  by KAUMZA

  Replies
  64
  Views
  1,380

  Kamanda MBOWE Vs Dr SLAA

  Kuna mwanajf aliwahi kuuliza kati ya Lowassa na Pinda yupi bora? Na mwingine aliuliza kati ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK nani ni bora. Mimi leo naona tujadili kati ya DJ Mbowe na Dr Slaa nani...

  15.
  2nd March 2011 07:34 PM
  Topic: Dr Slaa atuhumiwa kuzua kifo cha Dr Yohana Balele.
  by KAUMZA

  Replies
  48
  Views
  1,793

  Nikisema , nikabezwa: Imedhihiri, Dr SLAA SI MKWELI

  Katika mila zetu ni mwiko kumuita mtu aliyekuzidi umri muongo. Kwa minajili hiyo, kwa leo sitamuita Dr Slaa kuwa ni muongo ila ninasema kuwa si mkweli. Jana ametangazia umma kuwa mkuu wa mkoa wa...

  16.
  2nd March 2011 05:01 PM
  Topic: Rais Kikwete mgeni rasmi mei mosi 2011
  by KAUMZA

  Replies
  9
  Views
  245

  Rais Kikwete mgeni rasmi mei mosi 2011

  Kiukweli nimefurahishwa na taarifa kuwa TUCTA itamualika Rais JK kuwa mgeni rasmi katika mei mosi, tofauti na mwaka jana. Najua taarifa hii imewauma sana wale wanaopenda JK adhihakiwe na aonekane...

  17.
  28th February 2011 08:52 PM
  Topic: Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011
  by KAUMZA

  Replies
  526
  Views
  15,191

  Viva Kikwete, Long live baba

  Umenena! Hakika umenena! Wameshindwa mechi uwanjani na sasa wanategemea kupata ushindi nje ya uwanja. Ni wachochezi na tutawakataa. Na mchezo wao ni maafa kwetu.

  Umetutoa tongotongo, na sasa...

  18.
  28th February 2011 03:22 PM
  Topic: Vijimambo katika mahusiano ya kimapenzi
  by KAUMZA

  Replies
  29
  Views
  564

  Re: Vijimambo katika mahusiano ya kimapenzi

  Punguza hasira!!! Alikwambiaa nini?

  19.
  27th February 2011 10:11 PM
  Topic: Vijimambo katika mahusiano ya kimapenzi
  by KAUMZA

  Replies
  29
  Views
  564

  Re: Vijimambo katika mahusiano ya kimapenzi

  Miaka michache iliyopita nilikuwa mwanachama wa magazeti ya JITAMBUE na MSAURI WAKO. Kuna siku nilisoma kisa cha dada mmoja ambaye alieleza kuwa alitaka kujiua kwa kuwa mpenzi wake kamwambia kuwa ana...

  20.
  27th February 2011 09:43 PM
  Topic: Vijimambo katika mahusiano ya kimapenzi
  by KAUMZA

  Replies
  29
  Views
  564

  Re: Vijimambo katika mahusiano ya kimapenzi

  Ninakumbuka vema ilikuwa siku chache kabla ya harusi yangu kijijini kwetu, mimi nikiwa finalist UDSM na mchumba(mke wangu kwa sasa) alipokuja Hall 5 chumba namba 1279 na ktk maongezi yetu...

  Results 1 to 20 of 92
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  .....8.Kigoma Malima
  9. Julius Nyerere
  10....................
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kaingia mitini
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  TISS kwa kushirikiana na CCM kwa lengo la kuwaangushia jumba bovu CHADEMA, lakini Mungu si Athumani, lengo hilo halikufikiwa na hadi leo CDM inazidi kuitesa CCM hadi inaamua kutumia silaha ya maanagamizi ya UDINI ili kuiangamiza CDM, na silaha hii pia imekula kwao CCM kwani Waislamu inaotaka kuwatumia kwa malengo yao ya kisiasa wamekerwa sana na ushenzi huu wa mafisadi kuitumia dini yao kama kichaka cha kuficha ufisadi wao.
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  10. Amina Chifupa.
   
 13. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  prof. Chachage nae umemsahaau! Alikufa baada ya kuhutubia mkutano. Inasemekana microphone iliyoandaliwa na inasemekana alipata allergy kwenye kipaza sauti icho. Tanzania bwn!
   
 14. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
   
 15. T

  Tata JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Alikufa kwenye ajali ya gari wakati akisafiri kutoka Dodoma kuja Dar.
   
 16. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Mama yako mzazi
   
 17. s

  sawabho JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ah, kumbe kuna watu wanaweza kutoa uhai wa mtu ili kufanikisha mambo yao, haya, kama kweli Mungu yupo anawsubiri.
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Alifariki kwenye ajali ya gari.
   
 19. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :embarassed2:


  Nenda kamuulize DPP au kitengo chenu Intelijensia na wale wanaowasiadia kushinda chaguzi za kisiasa sijui ndo mnawaita UWT vile.........
   
Loading...