CDM ina mpango wa kushiriki uchaguzi Kenya?

CDM ina mpango wa kushiriki uchaguzi Kenya?

Naona ina wafuasi wengi kutoka kenya kuliko Tanzania
Mambo mengine, sio ya kuandika humu... inawezekanaje kuwazuia majirani kuchungulia kinacho endelea hapa na kupata uzoefu wa kazi? Mwachieni tu huyu Tundu, anatuchafua sana kama nchi. Leo Magereza wamekuja kininja, hivi wanaogopa nini?
 
Back
Top Bottom