Cyclopedia
Member
- Nov 11, 2015
- 25
- 41
Hadi muda huu bwana Mkunda yupo kimya. Anasubiri ngoma itoe GG, (mambo yavurugike) ndo aje na matamko uchwara😉
Tamko la nini?
alishatoa tamko tarehe 30 October kuwa wahuni waminywe pumbu.
Hapa tunasuburi kukuche tukuminye pumbu.