CDF mstaafu Mabeyo kukutana na Papa Francis

Sijui Magufuli watu kama hawa aliwapataje. Ambapo kwa sasa kama vile hawapo.

===

Maaskofu wa Kanisa Katoliki Nchini wapo Vatican kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo kama sehemu ya ratiba za kawaida za Maaskofu kukutana na Papa kila baada ya miaka michache.

Baadhi ya picha kutoka Vatican zinamuonesha Jen. Mabeyo akiwa na Maaskofu na nyingine ikimuonesha akisoma somo Katika mojawapo ya misa iliyofanyika huko. Hii inatoa tasiwra kuwa huenda akakutana na papa Francis siku za hivi karibuni.

Desemba 4, 2021 Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis alituma barua ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jen. Mabeyo kumshukuru kwa mchango wake mkubwa kwenye kanisa hilo.

Mchango...!!
 
Heko CDF Mabeyo anastahili ni moja kati ya watu wachache wanaokuwa na madaraka na kuwa wanyenyekevu na wapenda dini wakati wote bila kisingizio cha kuwa bize na kazi,huyu Baba kwa upande wa kulitumikia Kanisa kashiriki vyema pamoja na kuwa alikuwa Mkuu wa Majeshi.

Ni vyema amepewa maua yake mapema kabisa
 
Hakuna kama Roma
Sijui Magufuli watu kama hawa aliwapataje. Ambapo kwa sasa kama vile hawapo.

===

Maaskofu wa Kanisa Katoliki Nchini wapo Vatican kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo kama sehemu ya ratiba za kawaida za Maaskofu kukutana na Papa kila baada ya miaka michache.

Baadhi ya picha kutoka Vatican zinamuonesha Jen. Mabeyo akiwa na Maaskofu na nyingine ikimuonesha akisoma somo Katika mojawapo ya misa iliyofanyika huko. Hii inatoa tasiwra kuwa huenda akakutana na papa Francis siku za hivi karibuni.

Desemba 4, 2021 Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis alituma barua ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jen. Mabeyo kumshukuru kwa mchango wake mkubwa kwenye kanisa hilo.

Kwani mnaposikia 'Mfumo Kristo' huwa mnaelewa ni kitu gani hicho? Tatizo kule msikitini watu huambiwa kuwa huo ni Mfumo wa Wakristo kupendeleana na kujazana kwenye nafasi fulani fulani. Huo ni zaidi ya hapo...nasisitiza, ni zaidi ya hapo. The Catholic church is extremely powerful, muwe mnaelewa.
 
Ila wamisionali wa Roma, wengi wanakunja Sana, mi bado kidogo ningekuwa Roma, mama mkuu muitaly alikuja kuzuri huku kwenye mashirika yao, kanipenda kataka nikafanye kazi kule makao makuu yao, nikaulizwa nikakubali sawa, ma boss wangu wa huku wamenibania Sina hamu, kwa hasira nikaachaga kazi, Ila wanakujaga nyumbani kuwasalimia wazazi wangu, alafu Kuna shirika jingine dereva kawaendesha waitaly kwenye vivutio, walivyoondoka wakamtumia ice Ile ice dereva kanyimwa hipo pale shirikani.
ulikuwa sister au? hujaenda deep
 
Back
Top Bottom