Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,858
Habarini za jioni wana bodi...
Niliinstall program yapata miez 6 iliyopita, ikafanya kazi poa, juzi nimepiga window pc, najaribu kuinstall ikanigomea, nimefanya hivyo kwa pc zaidi ya nne imegoma kanisa, some pc inaonesha setup ila ukijaribu kuinstall inakataa, zingine wala haifunguki kabisa.
Je kuna namna ya kufanya backup ikawa poa, na nitumie njia gani ama program, software gani?
Natanguliza shukrani