elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
kuna mambo uwa siyaelewi kwenye os za microsoft windows.
Mfano kuna kipindi cha nyuma niliwahi post kuwa cd yoyote ya windows 7 inakuwa imecontain versions zote ila kuna jinsi ilivyofungwa ili iingie version ya windows iliyokusuudiwa na nikaweka jinsi ya ku upgrade kwenye version nyngine bila internet wala cd ya windows 7.
Sasa week moja iliyopita niliharibu simu yangu wakati najaribu kuiroot na kuinstall app flani, kwa hiyo nikawa sina simu na nilikuwa ninahitaji kuwa whatsapp na telegram kwa ajili ya kuwasiliana na watu flani maana nilikuwa tayari nina nokia ya torch.
Wazo likaniijia nitumie blustacks lakini tatzo ni kuwa natumia mac probook hivyo nikaona option ya haraka nna desktop ya windows niinstall bluestacks.
Sasa kimbembe kikaja kuwa blustacks inahitaji ram atleast 2gb na os iwe xp sp3 na kuendelea sasa desktop yangu ikawa na ram 1.5gb na xp sp1.
Nikadownload blustacks iliyokuwa customized ku run kwenye pc yenye ram less than 2gb kimbembe ikawa inagoma kuingia kwenye pc kisa inahitaji xp kuanzia sp3 wakati yangu ni sp1.
Nikaingia kwenye registry nikachange value flani nika reboot comp ikawaka inasoma xp sp3 na nikainstall bluestacks ikarun fresh.
Sasa nikabaki najiuliza hivi microsoft na hawa software developers kututengenezea softwares zinazogoma kuingia kwenye version flan ya windows wana maana gani.
Maana mimi siku update windows yangu nilichange value kwenye regstry nika restart pc ikasoma kuwa ni xp sp3 na bluestacks ikaingia kama kawaida.
Sasa ni kitu gani cha maana sana kinachowafanya wazuie software flan zisirun kwenye sp nyngneine au ni janja tu...
Ni hayo tu just wanted to share nanyi.