CCTV Dar es salaam bado ni utapeli

Frank King

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
1,310
886
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea hapa JF na hata kwenye mitandao mingine, yani kila mtu anaongea kwa namna aonavyo yeye ili hali tu nae katoa mchango.
Nikweli Mo Dewji katekwa na mpaka muda huu hajulikani alipo ingawa bado kuna Juhudi legevu zinazoendelea.

Nimeskia baadhi ya Viongozi katika michango yao na majibu yao kwa Wananchi kwamba Dar es salaam panaulazima wakufunga CCTV, Ni kweli na inajulikana Wanauwezo na watafanikiwa kufungu CCTV kwaajili ya Ulinzi N.k

All and all watafunga tena watafunga mpaka chooni kote kutakuwa na CCTV, Ila mkumbuke Serikali ya Chama cha mapinduzi ina mambo ya ajabu mno...Siku wakitaka kupiga kazi watazing'oa kama walivyofanya kwa LISU na hapo

Hivyo nashauri, Manispaa isiingie gharama yakufunga CCTV ili hali zitatumika ndivyo sivyo, ni Bora muelekeze hizo hela zikanunue Wabunge..oops sory..zikanunue Madawa kwaajili ya Wananchi (Masikini )
Ili Ikimpendeza Mungu siku Moja Tukiondokana na hili DUBWASHA madarakani ndiposa CCTV zifungwe na faida itaonekana katika Lengo.

Nawasilisha..
Povu ruksa.
 
Back
Top Bottom