Ndiyo maana sijataja jina la kampuni wala jina la mteja, na mimi mwenyewe nina uhakika hunifahamu so you can't make any links apart from a series of clueless guessworks......labda ana Walakini/Wasiwasi Mumewe anamega House Girl wao.
Lakini na wewe, hio kampuni yenu haina Privacy??, hizo ni siri kati ya Mteja wenu na Kampuni, sidhani kama zinafaa kuweka hapa. Ni Mawazo tu, ni Mtizamo tu.
Kwa hiyo anataka kupiga chabo au ni vipi?anahisi hausgel anatambea na mumewe.
Hivi ingekuwa kweli shem anakula hiyo HG, mamaa anategemea nini kwenye hizo CCTV reviews?Mulika mwizi
Kwa hiyo anataka kupiga chabo au ni vipi?
Ndiyo maana sijataja jina la kampuni wala jina la mteja, na mimi mwenyewe nina uhakika hunifahamu so you can't make any links apart from a series of clueless guessworks.
Cha kushangaza, mojawapo ya sehemu alikotaka ifungwe CCTV camera ni chumba cha housegirl wake. Bedrooms zingine zote hajaweka, ni hiyo ya house girl tu. Hii imekaaje wadau.
<br />Imenishangaza sana hii. Kuna mama mmoja anamiliki mini-supermarket moja hapa A town alitupatia tenda ya kumwekea CCTV kwenye biashara yake. Watu wa installation walifanya kwenye angles walizochagua, sisi tulimwekea software kwenye computer yake ofisini ya kumwezesha kufanya monitoring, surveillance na reviews muda wowote anaotaka. Actually anaweza aka-copy footage za siku hiyo kwenye laptop na kwenda kuzi-review nyumbani kwa muda wake. Mama kaipenda sana, akatuita pembeni akasema anataka tukamfanyie huduma kama hiyo nyumbani kwake. Cha kushangaza, mojawapo ya sehemu alikotaka ifungwe CCTV camera ni chumba cha housegirl wake. Bedrooms zingine zote hajaweka, ni hiyo ya house girl tu. Hii imekaaje wadau.