Video hii imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii hata you tube ipo na ni story ya kweli kabisa kama inavyoonekana Kwenye Video huyo na mwanaume anaeonekana kwenye Video ni muigizaji wa movies toka nchi ya Nigeria na dada anaeonekana ni mpenzi wake na anaesikika Kwenye hiyo Video record ni manager wa hotel kama anavyojitambulisha jamaa kaenda kukojoa mwanamke kamuwekea sumu kwenye kinywaji CCTV Carmera zikawa zinamwona ndo Manager wa hotel akamuwahi kwenda kumzuia asinywe dem anaambiwa anywe kinywaji ili ku prove ukweli kama hajaweka sumu dem anagoma kunywa kijasusi hii ina funzo kubwa tusiwaamini hawa marafiki zetu ki rahisi rahisi.CCTV Camera ni muhimu sana. Kukosa huyo meneja kuingilia tukio hilo huyo jamaa angekunywa pombe hiyo iliyowekwa sumu na huyo mwanamke